Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Vyanzo vyake mtoa mada vilivyoko Mahakama Kuu.Source Pliz
Mkuu kesi kama hii kununua majaji huwezi kwa kuwa anayeshitaki ni CDM,hivyoOna atakavyoropoka, labda wawanunue majaji
Mkuu embu utujuze hii kitu ilikuwaje, maana huku nilipo naona TV ya kipeperushi cha magamba pekee.Huku sasa nimkutafutia Nape ugonjwa wa shinikizo la damu kabla ya umri wake, hawa mapoyoyo wapunguze kuropoka, hivi kama alishindwa kufanya debate ambayo si ya kimahakama na Tundu Lisu juzi star tv sasa akisimamishwa kizimbani si ndio atajinyea!!??
CDM wamempeleka dogo Nape mahakamani wkt CDM hawana imani na mahakama sasa sijui itakuaje.
du umenikumbusha juzi jpili kwenye star tv alipandwa na jazba akaanza kuropoka ooo lisu anadanganya aaaa kumbe yupo vile je mahakamani si ndio atakimbia nchi
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.
Na mahakamani hakuna jazba, unashuka na points tu.