Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.

Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,

My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu taifa linapewa taswira mbaya, kwani lina taswira nzuri? Chama chochote kinaingia bungeni kwa kura za wananchi, au siku hizi kuna genge linatoa nafasi? Hao cdm watakuwa wamefanya jambo la maana iwapo watatoka, maana kama ni tatizo lipo kweli kwanini kulificha?
 
Tanzania inaheshimika Sana sisi ni mfano wa kuigwa hapa afrika
Mkuu taifa linapewa taswira mbaya, kwani lina taswira nzuri? Chama chochote kinaingia bungeni kwa kura za wananchi, au siku hizi kuna genge linatoa nafasi? Hao cdm watakuwa wamefanya jambo la maana iwapo watatoka, maana kama ni tatizo lipo kweli kwanini kulificha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu taifa linapewa taswira mbaya, kwani lina taswira nzuri? Chama chochote kinaingia bungeni kwa kura za wananchi, au siku hizi kuna genge linatoa nafasi? Hao cdm watakuwa wamefanya jambo la maana iwapo watatoka, maana kama ni tatizo lipo kweli kwanini kulificha?
Sipati picha!!
 
Japo taarifa yako ni kama umbea, binafsi sioni sababu Chadema kukaa bungeni, yote mliyowafanyia kuanzia kesi zisizokuwa na maana, Ndugai kuropoka pumba kila siku hawatarudi bungeni, meko kudai aachiwe huku nje apambane nao then Lissu akapigwa risasi, kumhusisha Mbowe na tuhuma za uongo wa kila aina, kumharibia mali zake bila sababu tena bila kufuata sheria( uvunjwaji billicanas), hivi kweli kuna haja gani kukaa na watu wa aina hiyo uwasikilize?

Watu waliotawaliwa na matendo ya kinyama kwa wanadamu wenzao, wasio na chembe ya huruma, wanafiki wanaohubiri kinyume na matendo yao, Chadema wanatakiwa kurudi kwa wananchi wawaeleze mipango yao, wananchi ndio mabosi wao wa kuwarudisha bungeni, sio Ndugai wala meko na serikali yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona wakiwemo ama wasipokiwemo haina tofauti yeyote ile.
Kama wana shughuli ya maana ya kufanya basi wanaweza kuifanya badala ya kupoteza muda wao kusikiaza mambo ambayo ni marudio. ( repeatation)
 
Mbona unawahukumu kabla hawaja susia. Una fanya conclusion kutokana na tetesi? Hata hivyo ni haki yao kikatiba na kidemokrasia hakuna kitakacho haribika
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.

Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,

My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.

Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,

My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni haki yao ya msingi pia ni njia ya kidiplomasia kufikisha ujumbe kwa mtawaala Raisi kwamba hawakibaliani nae katika sera zake na utandaji wake hususani kwenye masuala ya utawaala wa sheria dimokurasia na jinsi anavo endesha gonjwa la Corona, kwa hilo wako sawa kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache uoga hata kama chama kinakufa hakukuwa na maana ya kushindwa kusikiliza hoja nzito ambazo mh atazimwaga mle ndani

Back
Top Bottom