The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Kama mnakumbuka Magufuli enzi zake aliwahi kuongea hadharani.
'msini drive'.. mnakumbuka?
Tumewahi jiuliza alikuwa anawaambia kina nani??..kina nani Wana jeuri ya kum drive Rais? Hadi Magufuli aongee kwa style ya kulalamika hadharani?
Bottom line lazima tukubali kuna 'power behind power' ambazo sometimes ni more powerful than the power we see ..
Sasa hapa tunarudi kwa Chadema walikuwa Wana utamaduni mrefu wa kuheshimu hizi 'power behind power'..na walifaidika nazo sana.
Mnakumbuka sakata la bugs wakati ule wa Dr Slaa?Nani walimwambia chumba chake kina bugs?..nyaraka mbalimbali walizokuwa wanapewa wanaibuka nazo?
Kina Zitto hadi wanaokolewa wasikamatwe....kina Lipumba nk.
Kiukweli hii kitu tunaita 'the system' huwa ni nadra Sana kumsaliti Rais anaewasikiliza.....kama walikuwa Wana doubt kama Samia atawasikiliza na Samia amesha prove kuwa anawasikiliza ..basi kwa vyovyote vile Chadema walipaswa na wao kufanya kazi kwa karibu na 'hawa watu' kama zamani.
Je, walipewa go ahead ya kuandaa maaandamano nchi nzima ya kudai katiba?..au walijiamulia wenyewe?..
Chadema hawajui "the system " wasingeruhusu kabisa Rais mpya ayumbishwe ambae ndo kwanza wanahitaji kumsoma na kujua watafanyaje nae kazi apewe nafasi?
Chadema hawajui "the system " priority Yao ya kwanza kabisa nchini ni Amani na Utulivu?
Chadema hawajui "the system" sio Tu Wana jukumu la usalama lakini wao ndo best "proffesionals " kabisa wenye jukumu pia la kujua exactly wananchi wako na mood ipi na wanataka nini kwa sasa?..na vipi Rais akishauriwa vizuri anaweza cheza na upepo kupenyeza agenda za muhimu?
Weaknesses za Samia zilifahamika na system walihitaji Rais azifanyie kazi baadhi ya weaknesses ili iwe rahisi kwa next time ...bahati mbaya Sana Chadema wameenda kuingia mtego mwepesi sana
Hatimae wamemsaidia Samia in the time being.
Samia kwanza Mwanamke.
Pili mzanzibari
Tatu hakuchaguliwa yeye
Nne Outsider ..hakuwa nguli wa siasa za CCM ....
Unaweza ongeza zingine nyingi ..but ilipoanza kuonekana tumepata Rais ambae kila 'mtu anataka kumtikisa na kudeka deka'..
The system walihitaji Rais atoe reaction ya haraka .. message iwe very clear.
"Msilete mchezo"..tutawashughulikia mkijaribu kutikisa nchi.
Sasa why Chadema waliingia huu mtego?
Mbona Mzee Warioba anapambania katiba bila kutishia vurugu??..
Samia ameongeza credit now
Watu wa System now wanajua angalau tuna mtu tukihitaji 'maamuzi magumu'
Hataogopa.... regardless ya mabalozi watasemaje ...mradi jukumu la kwanza kabisa kusimamia usalama wa Taifa halifanyiwi compromise ....
As long as Samia anaenda Sawa na 'the system' ..na Chadema wanafanya siasa zao mbali kabisa na system hakuna ambacho watapata.
Watapewa agenda kama walivyopewa
"Free Mbowe agenda"..ya kuwa keep busy hadi hapo The system watakapo ona sasa ni wakati sahihi kuwepo na mijadala ya katiba mpya.
System wasingeruhusu Rais ambae bado hajapata Ile 'political legitimacy 'abadili katiba... Constitutional legitimacy sio political legitimacy.
Kwa sasa the system wataenda na Samia hadi hapo ambapo ana political legitimacy na mazingira yanaruhusu kuanza kujadili katiba mpya na sio kwenda na upepo wa mitandaoni.
Kama Magufuli alilalama wanam drive.
Chadema walifikiri ni jambo rahisi Rais kwenda against the system?
Hasa wakati akifanya Jambo mnaenda kupiga makelele 'mama anaupiga mwingi'.
Rais anazidi kuonekana anafata Mitandao badala ya kusikiliza ushauri wa "the proffesionals".
Mnazidi kumuonesha ana weakness badala ya kumjenga...mpaka alipowachukulia hatua Chadema now.
Kaanza kuonekana sio that weak.
Ikibidi kufanya 'unpopular decisions'.. atafanya....hiko ni kitu kikubwa mno kwa system.
Swali langu kwa Chadema ..the system mnawasikiliza?Mtaweza kwenda against them kama hata Rais hawezi?