The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
sasa hivi kauli ya kujivua gamba ni maarufu mno
hata kwenye mazungumzo ya mapenzi au ya kijamii mengine
utasikia watu wakiitumia hii kauli.......mpaka kwenye magazeti ya udaku inatumika...
sasa swali hapa ni nani alianzisha kauli hiiiiii?????????/
ni mwenyekiti wa ccm .kikwete
wakati wa uchaguzi wa marekani kauli maarufu ilikuwa 'yes we can'
na mwisho kauli hiyo ikathibitisha kuwa obama ni maarufu na anakubalika zaidi.....
sasa kama watu wa chadema wanatakiwa kujiuliza je kuna kiongozi gani wachadema
ambae akizungumza kitu au kutoa kauli inashika moto kwa umaarufu?????????
unaweza dharau haya mambo lakini ni ishara tosha ya kuonesha
kukubalika au kutokubalika kwa kiongozi......
kuna mtu anakumbuka kauli ya john mc cain????????ipi???????
inawezekana umaarufu wa chadema na viongozi wao upo a little bit exaggerated....
vitu vidogo kama hivi vinaweza onesha jamii inawasikiliza zaidi kina nani....
au mnasemaje??????????????????????