Kwa anaeijua vizuri Ubungo kama Jimbo atakua shaihidi kuwa CHADEMA hawastahili tena kwanzia ngazi ya UDIWANI hadi UBUNGE. Ubungo inamindombinu mibovu ya barabara ambayo lilikua Jukumu la Mbunge na Balaza la Madiwani. Chadema mlipewa Ubunge mmepewa na halmashauri lakini vitu vya kawaida tu vimewashinda. Kila unapopita unakuta hali mbaya kuliko kawaida si makoka wala msewe kote hali mbaya kabisa.
Leo Mnataka wawaamini kuwa mnafaa kwa hali hii mmechemka sana. Bonface alikuwa Meya kwa Miaka 5 kashindwa kuhakikisha greda linafanya kazi yake ilikuleta unafuu kwa Wanaubungo. Kwa hali hii nikwamba Bonface hana uwezo wa kuwashawishi Wanaubungo wamchague kwa nafasi muhimu kama hiyo kwasababu alishajaribiwa kwa umeya tu kashindwa kutimiza wajibu wake.
CCM imekuwa chama cha Upinzani kwa miaka 10 Ubungo haina sehemu ya Kulaumiwa hata kidogo maana maamuzi yote yaliamuliwa kwa nguvu ya wingi wa Madiwani wa CHADEMA.
Prof Kitila Mkumbo anayonafasi kubwa ya kupewa nafasi Ubungo kwakua ameitendea haki kwenye suala la Maji akiwa mtendaji mkuu wa kitaifa wa Sekta hiyo. Ubungo hawana shida ya maji kama zamani. Ubungo wametuliwa ndoo kichwani akina mama wanatamka hilo kila unapopita.
CHADEMA uzembe wenu wa makusudi unawafanya msiwe na uhalali tena wa kuwa sehemu ya Uongozi Ubungo.
Philipo Mwakibinga.