kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
viongozi wakuu wa utapeli na ufisadi mmewakumbatia mnaogopa hata kuwahoji!
Huo ndio ukweli halisi ila hawa wafuasi mahaba hawalioni hilo bali uchagadema umewajaa saa zote ni bangi na matusi tu.Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo chadema ndio waliofikisha nchi hapa
Hii hali ngumu wanayoipigia kelele chadema na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu,kila kukicha mali za nchi zinakamatwa
inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii ,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini
Fedrick sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10
ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha
ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini
yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini
Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama
Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi,
Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao
Tusiogope kuwahoji chadema na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili
Tanzania bila ufisadi inawezekana
Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
Kauli wahed mbowe nani mwenye uwezo wa kuhoji,hoji upotezwe!Huo ndio ukweli halisi ila hawa wafuasi mahaba hawalioni hilo bali uchagadema umewajaa saa zote ni bangi na matusi tu.
Kweli umeishiwa hoja namna hii? Suala hili ulilonukuu mbona ulishajibiwa?
Wawahoji wao ndo wana vyombo vya mahojiano?fine wamewahoji wakakubali wao ni mafisadi then wanawapeleka wapi sasa?ebu waambie hao wenye mamlaka ya kukusanya kodi zetu waende kuwahoji hao watu wanaokunyima usingiziviongozi wakuu wa utapeli na ufisadi mmewakumbatia mnaogopa hata kuwahoji!
subiri warukeruke wataingia timing mtawaona nyuma ya nondo serikali imedhamiria kusafisha uvundo wote!Wawahoji wao ndo wana vyombo vya mahojiano?fine wamewahoji wakakubali wao ni mafisadi then wanawapeleka wapi sasa?ebu waambie hao wenye mamlaka ya kukusanya kodi zetu waende kuwahoji hao watu wanaokunyima usingizi
Unazidi kuwavua nguo!Kweli Kabisa, Sumaye na Lowassa ndio walienda kubeba pesa za Escrow pale BOT.
Wao ndio walinunua kivuko kibovu.
viongozi wakuu wa utapeli na ufisadi mmewakumbatia mnaogopa hata kuwahoji!
Never Ever, Roho iliniuma mlimpommiminia risasi Lissu, hata wewe ungeteuliwa tatizo huweki namba zako za simu kwenye mabandiko yako.Roho inauma mkuu!
Mkuu wengine hatuna uroho wa madaraka kama wale waliohama kisa wamekatwa!Never Ever, Roho iliniuma mlimpommiminia risasi Lissu, hata wewe ungeteuliwa tatizo huweki namba zako za simu kwenye mabandiko yako.
Msingi wa chadema ulipotelea hapa na kuleta mpasuko kwenye majibu mepesi subiri kabla ya 2020 mtawasalimia kwenye nondo!Acha siasa nyepesi dogo. Unataka kumuhoji nani zaidi ya kuleta siasa za majitaka? Mahakama ya kawaida ipo na mkiona hiyo inachelewa kuna ya mafisadi. Magufuli amebaki kuleta siasa nyepesi majukwaani zisizo na mvuto eti majizi yako na yanakimbilia cdm. Yeye ndio rais na anaongoza kibabe, ni mpinzani gani mwenye kesi ya ufisadi hadi sasa?
Uza ubongo huo ww unakaa nao kwa hasara. Hao mnaowaongopea mnapambana na ufisadi wameshawajua hamna jipya ila vitisho ndio vinawanyamazisha.