CHADEMA wamefunga goli la "kisigino"

[/QUOTE]
Vingine ni vipi mkuu..?!
 
Mwigulu Nchemba vipi hapo una swali ???? Sijui utatoa sh ngapi kuwasambaratisha UKAWA na taifa halina hela maana hata walipa kodi wenyewe mnawauzia mbuga za wanyama bure
 
Tatizo la viongozi wa siasa hapa nchini ni kuwa hauna msimamo na wenye makundi makundi yaani kizngumkuti kabisa , sasa subiri uone ya UKAWA utachanganyikiwa na kuwashangaa wanasiasa wetu
 
ni kweli tunaona dalili zote za dola ya warumi kuporomoka ifikapo 2015.
 

..sidhani kama niliipinga hoja yako.

..lakini kama niliipinga, basi sasa hivi nina mtizamo tofauti.

..yaliyotokea ktk bunge la katiba kwa kweli yamenikatisha tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…