kilando Member Joined Dec 26, 2013 Posts 23 Reaction score 5 Mar 26, 2014 #1 baada ya utafiti wa kisayansi atimae chadema ya amua isitumie chopa ili kukwepa gharama kwan wameshindwa kabla ya kuthubutu
baada ya utafiti wa kisayansi atimae chadema ya amua isitumie chopa ili kukwepa gharama kwan wameshindwa kabla ya kuthubutu
zaleo JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,902 Reaction score 766 Mar 26, 2014 #2 Haya bana, na nyie tumieni magari ya serikali maana hamtakuwa na gharama
Mpaka Kieleweke JF-Expert Member Joined Feb 27, 2007 Posts 4,132 Reaction score 1,582 Mar 26, 2014 #3 Mbona Chalinze CCM mmeanza kulia lia sana
M mwalimu wenu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 203 Reaction score 19 Mar 26, 2014 #4 Unatafutaje umaarufu huku huna kitu?polen sana cdm.
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 56,744 Reaction score 46,268 Mar 27, 2014 #5 kilando said: baada ya utafiti wa kisayansi atimae chadema ya amua isitumie chopa ili kukwepa gharama kwan wameshindwa kabla ya kuthubutu Click to expand... Sayansi ipi tena?
kilando said: baada ya utafiti wa kisayansi atimae chadema ya amua isitumie chopa ili kukwepa gharama kwan wameshindwa kabla ya kuthubutu Click to expand... Sayansi ipi tena?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Mar 27, 2014 #6 Hapo kuna sayansi gani?au budget haisomi?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,705 Mar 27, 2014 #7 Sema tu ukweli kuwa hesabu zimekataa; hivi akina mbowe wanavyopenda anasa na sifa wangeacha hiyo kitu?
Sema tu ukweli kuwa hesabu zimekataa; hivi akina mbowe wanavyopenda anasa na sifa wangeacha hiyo kitu?