VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Walikuwa wakisubiriwa
kwa hamu mno.Waseme japo neno moja juu ya vurugu za Zanzibar.Vikao
mbalimbali vya Nyinyiemu vilijiapiza kudandia kwa kuponda kauli ya
kiofisi ya CHADEMA juu ya vurugu hizo.Intelijensia ilihamia
CHADEMA.CHADEMA ikabaki kimya.Imecheza karata zake vyema.CCM wamekosa pa
kuanzia.Waweza kusema:Maaskofu waliomuona Shein wametumwa na
CHADEMA.Mtego umefyatuka kabla ya kumnasa aliyelengwa.Nyinyiemu
chaliiii....kazi ni kwenu!
mbona CDM ilishatoa tamko? kuna uzi humu kuhusu hilo!
Ukimya wa CHADEMA kwangu si hoja; kinachonisumbua ni ukimya wa Rais wa Muungano (Dr Kikwete) na Rais wa Zanzibar (Dr Shein) wakati umma wote unategemea kauri zao ili kupata msimamo wa kitaifa. Umma unasubiri kumsikia mmojawao kwa kuwa katika viapo vyao ni pamoja na kulinda katiba, muungano na amani ya watanzania. Hisia zanisukuma kufikiria kuwa labda tuvute subira, bado serikali inaendelea na uchunguzi / upelelezi wa jambo hili zito la vurugu zxa kisiasa (kudai Muungano) kugeuka kuwa za kidini (kuchoma makanisa na biblia). Hata kwenye suala la mgomo wa madaktari serikali ilisubiri kwanza ndipo badaye ikajibu na kuelezea kwa kishindo kikubwa.
Exactly VUTA-NKUVUTE hata mimi nililiona hilo, ndio maana baada ya vurugu thread nyingi zilijaa kuuliza mbona CDM kimya, mbona chama kikuu cha upinzani hakisemi lolote zikiongozwa na kiziwi na zomba. Vile vile walikuwa wametega kusikia kauli ya maaskofu hasa Pengo napo wakagonga mwamba.
Naanza kukubaliana na baadhi ya watu kuwa uchomaji wa makanisa ulifanywa na watu maalum kwa makusudi maalum.
Ukimya wa CHADEMA kwangu si hoja; kinachonisumbua ni ukimya wa Rais wa Muungano (Dr Kikwete) na Rais wa Zanzibar (Dr Shein) wakati umma wote unategemea kauri zao ili kupata msimamo wa kitaifa. Umma unasubiri kumsikia mmojawao kwa kuwa katika viapo vyao ni pamoja na kulinda katiba, muungano na amani ya watanzania. Hisia zanisukuma kufikiria kuwa labda tuvute subira, bado serikali inaendelea na uchunguzi / upelelezi wa jambo hili zito la vurugu zxa kisiasa (kudai Muungano) kugeuka kuwa za kidini (kuchoma makanisa na biblia). Hata kwenye suala la mgomo wa madaktari serikali ilisubiri kwanza ndipo badaye ikajibu na kuelezea kwa kishindo kikubwa.
Serikali yetu ipo likizo labda wakirudi watatoa tamko.Ukimya wa CHADEMA kwangu si hoja; kinachonisumbua ni ukimya wa Rais wa Muungano (Dr Kikwete) na Rais wa Zanzibar (Dr Shein) wakati umma wote unategemea kauri zao ili kupata msimamo wa kitaifa. Umma unasubiri kumsikia mmojawao kwa kuwa katika viapo vyao ni pamoja na kulinda katiba, muungano na amani ya watanzania. Hisia zanisukuma kufikiria kuwa labda tuvute subira, bado serikali inaendelea na uchunguzi / upelelezi wa jambo hili zito la vurugu zxa kisiasa (kudai Muungano) kugeuka kuwa za kidini (kuchoma makanisa na biblia). Hata kwenye suala la mgomo wa madaktari serikali ilisubiri kwanza ndipo badaye ikajibu na kuelezea kwa kishindo kikubwa.
Siyo lazima niandike exactly maneno yote uliyosema lakini lengo linaonekana wazi, mfano thread yako uliyoianzisha just after the Zanzibar event lengo lilikuwa ni ku-associate mkutano wa CDM Jangwani na vurugu lakini watu wakakupuuza....Wacha kutia maneno yako kinywani mwangu, ni wapi nilisema hayo niliyoyawekea nyekundu?
Kama huna cha kusema usitie maneno yako kinywani mwangu, huo ni uzandik, ubaradhuli na ufataani.
Yanayotokea Zenj ni matunda ya upando wa M4C? maana baada ya hotuba ya Jangwani tu haijapita hata masaa 24 mambo ndio hayo. Ni wakati muafaka wa nyinyi kwenda huko kuendeleza M4C.
Kwa heshima na taadhima, tunaomba uongozi wa CHADEMA usisahau kupeleka mkutano wa M4C Zanzibar haraka iwezekanavyo, tena tunaomba sana Mheshimiwa Tundu Lissu apewe muda mrefu wa kuongea atapokuwa huko. Inaonesha kuwa CHADEMA imewaamsha Wazanzibari kutokea Jangwani ni vyema wakafika huko "LIVE".
Siyo lazima niandike exactly maneno yote uliyosema lakini lengo linaonekana wazi, mfano thread yako uliyoianzisha just after the Zanzibar event lengo lilikuwa ni ku-associate mkutano wa CDM Jangwani na vurugu lakini watu wakakupuuza....
Thread started by zomba https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/269961-m4c-zanzibar.html?highlight=#post3954425