Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Arusha, Samson Mwigamba, amesema kuwa yeye yuko tayari kumpokea hata Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, endapo ataamua kufanya uamuzi wa kubadilika na kujiunga na CHADEMA.
Lowassa akiamua kuondoka CCM ni lazima atakuwa na sababu za kufanya hivyo, lakini na sisi ni lazima atatueleza juu ya tuhuma mbalimbali za ufisadi zinazoelekezwa kwake, tutamsikiliza, tukimwelewa hatutakuwa na sababu ya kumnyima uanachama, alisema.
Source: Tanzania Daima
My take: Nimeanza kuamini kuwa inawezekana kabisa Lowassa anaandaliwa mazingira ya kusafishwa.
Lowasa siyo fisadi bali ccm yenyewe. Kama umesiliza michango ya wabunge jana utaligundua hilo. Kama angekuw fisadi nchi ingekuwa na maendeleo mskubwa baada ya kuondoka kwake madarakani. Kinyume chake ni kama vile kuondoka kwake kwenye u PM kumewapa nafuu akina Mkulo na wenzake.
Umeelewa vizuri hiyo statement lakini?"Kumkaribisha Lowasa CDM ni sawa na kuiangamiza CDM!!"
Hivi wanachama wa kujiunga CDM watakuwa wameisha hadi kumkaribisha Lowasa!!??
Very pathetic!! Poor Mwigamba!!!
Umeelewa vizuri hiyo statement lakini?
List of shame aliyoisoma Slaa ilikuwa na vielelezo na majina ya mafisadi papa but they are still innocent until proven guilty. Kosa kubwa ambalo Lowassa amekuwa akishikiwa bango ni umiliki wa Richmond. Endapo Lowassa atakuja public na kuikana Richmond na kutuambia wazi ni ya nani basi nafikiri atakuwa amejisafisha kwa kiasi kikubwa, yatayobaki ni mambo madogo madogo sana ambayo binadamu yeyote anaweza kuwa nayo. Suala la yeye kuwa tajiri halina mashiko.
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Arusha, Samson Mwigamba, amesema kuwa yeye yuko tayari kumpokea hata Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, endapo ataamua kufanya uamuzi wa kubadilika na kujiunga na CHADEMA.
Lowassa akiamua kuondoka CCM ni lazima atakuwa na sababu za kufanya hivyo, lakini na sisi ni lazima atatueleza juu ya tuhuma mbalimbali za ufisadi zinazoelekezwa kwake, tutamsikiliza, tukimwelewa hatutakuwa na sababu ya kumnyima uanachama, alisema.
Source: Tanzania Daima
My take: Nimeanza kuamini kuwa inawezekana kabisa Lowassa anaandaliwa mazingira ya kusafishwa. Nakujibu tu hapo kwenye my take. Kama EL ataamua kujisafisha Kwa maana ya kuachana na ufisadi sioni tatizo la yeye kutokaribishwa popote.[]
Come down uttoh2002, najua wewe unasema Lowassa ni fisadi kwa vile tu umesikia wakisema, ukiambiwa tuonyeshe kafisadi nini unaweza kushindwa sana sana utasema alitajwa na Slaa, kama tukisema tuwachukie wote wanaotajwa tajwa tutagombana na wengi itamkumba hadi mkuu wa nchi. Kutaja ni kitu kimoja na ku prove ni kitu kingine, kama yeyote atakuja open kukiri na kutuambia black and white mhusika ni fulani kwanini asisamehewe?YES, kukana kungemsaidia, ANANGOJA NINI SASA HUYU MWIZI MWENZIO?
Sidhani kama kuna sababu ya kuelewa hata, LOWASA akitajwa mahali inakera hata kusome, kwa hiyo cha maana ni kumhusisha na UFISADI TU, hata kama sio relevant, SIMPLY FISADI