CHADEMA wajitafakari wapi walipowakosea Watanzania.

Kuche Kucheka na kufurahia kifo Cha magufuli
 
Kumfaliji mgonjwa ni Moja ya Tiba endereeni kufalijiana
 
Unaweweseka kama NGUCHIRO!!
 
Mbona wewe ndio umetukana JPM Shanzi taipu. Nani ashindane na hayawani na ibilisi Kama yule. Kataka kumuua Lissu kafa yeye. Umeumia Lissu kupokelewa na watu wengi? Na bado.
Nasikia harufu ya sidiria chafu hapa[emoji40][emoji40]
 
Kama kawaida yako unaleta picha za saa mbili asubuhi kujifurahisha. Kwa Nini unakwepa picha za Lissu wakati anapokelewa na umati. Mwanza na Musoma ulisema hivyo hivyo.
Hapo ni saa mbili? Nilikuwepo eneo la tukio, Hadi aibu
 
Singida sio mfano bora wa kipimo cha kukubalika au kukatalika.
Singida ni MASIKINI SANA na ndio maana CCM ni stronghold yake kwani CCM imewekeza sana katika umasikini na ujinga.
Singida bado sanaaaa! Na wenyewe wanajijua. Watu na vijana wanaoonekana wame elimika ni kama Suphian Juma sasa niambie mnapata picha gani na eneo hilo?
Chadema iko imara sana kwa watu walio elimika na wasio na njaa kichwani wala tumboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…