wakubwa hili jimbo tumkabidhi kamanda paul andrew Maganga, atakuwa mtaji mkubwa kwa cdm kwa hii kanda, nimefanya naye kazi nampata sana, hana hofu na chochote zaidi ya mungu.
Tulishampa Tayari yule mpambe wa Zitto, Mtemelwa hana jipya kabisa!