Mwiba,
Watanzania usiwageuze zezeta na wala kuendelea kuwapotosha wasio jua kilichokuwa kinaendelea. Hakuna cha taarifa ya inteligentia bali ni hofu tupu ya serikali iliyomfanya kumshinikiza IGP kutoa amri ambayo kwa mujibu wa SHERIA hakuwa na mamlaka yao. Serikali na kwa serikali ninamaanisha JK aliingiwa hofu kuwa Chadema itatumia nafasi hiyo kuzungumzia masuala mazito ya kitaifa(jambo ambalo ni haki
yetu kikatiba). Usalama uliohofiwa si wa Taifa bali wa JK na kundi lake, na kwa hofu hiyo tu wamepelekea umwagaji wa watanzania wasio na hatia. si kitu damu hiyo italia kwa Mwenyezi Mungu na hataacha kusikiliza kilio hicho kwa njia itakayompendeza YEYE.

Jibu lake ni fupi. Na pia unanena vizuri. Chadema is big shock to CUF, CCM and evene Tanzanians. Ushindi wa viti 47 umewafanya watoe kucha zao walizozificha. Lakini pia wakati CUf wanakula matunda ya siasa za chuki na vurugu, Chadema nao wanasema ni wakati wao kujitengenezea mlo. Tatizo wanasahau kuwa Tanganyika sio Zanzibar, Upemba sio Uchaga lakini zaidi watangayika sio dini moja kama wapemba.....
Mwiba,
Watanzania usiwageuze zezeta na wala kuendelea kuwapotosha wasio jua kilichokuwa kinaendelea. Hakuna cha taarifa ya inteligentia bali ni hofu tupu ya serikali iliyomfanya kumshinikiza IGP kutoa amri ambayo kwa mujibu wa SHERIA hakuwa na mamlaka yao. Serikali na kwa serikali ninamaanisha JK aliingiwa hofu kuwa Chadema itatumia nafasi hiyo kuzungumzia masuala mazito ya kitaifa(jambo ambalo ni haki
yetu kikatiba). Usalama uliohofiwa si wa Taifa bali wa JK na kundi lake, na kwa hofu hiyo tu wamepelekea umwagaji wa watanzania wasio na hatia. si kitu damu hiyo italia kwa Mwenyezi Mungu na hataacha kusikiliza kilio hicho kwa njia itakayompendeza YEYE.
Wacheni Jazba ,muhimu ni kutafutwa walichokuwa nacho polisi ,jamani hasira hazijengi ,JF ni moja ya kiini zipatikanapo habari za kiintelejinsia ,sasa kale kaizi chetu ni lazima kapite huko kwenye vitalu vya habari za upelelezi ziwekwe hapa ,ikiwa Chadema na uongozi wao watashindwa kuzipata ,kama mnafahamu hili sio jambo jepesi ni lazima ukweli wa kilichokuwa kitendeke ambacho polisi walikihofia kielezwe ,nani atakieleza ,je Chadema wanazijua au wameshazijua ,au walipokamatwa walimegewa na sasa wamekaa kimya ,wengine wacheni kumwaga mavumba maana mna harufu mbaya ya midomo.
Mwiba,
Watanzania usiwageuze zezeta na wala kuendelea kuwapotosha wasio jua kilichokuwa kinaendelea. Hakuna cha taarifa ya inteligentia bali ni hofu tupu ya serikali iliyomfanya kumshinikiza IGP kutoa amri ambayo kwa mujibu wa SHERIA hakuwa na mamlaka yao. Serikali na kwa serikali ninamaanisha JK aliingiwa hofu kuwa Chadema itatumia nafasi hiyo kuzungumzia masuala mazito ya kitaifa(jambo ambalo ni haki
yetu kikatiba). Usalama uliohofiwa si wa Taifa bali wa JK na kundi lake, na kwa hofu hiyo tu wamepelekea umwagaji wa watanzania wasio na hatia. si kitu damu hiyo italia kwa Mwenyezi Mungu na hataacha kusikiliza kilio hicho kwa njia itakayompendeza YEYE.
Originally Posted by Dr.W.Slaa
Mwiba,
Watanzania usiwageuze zezeta na wala kuendelea kuwapotosha wasio jua kilichokuwa kinaendelea. Hakuna cha taarifa ya inteligentia bali nihofu tupu ya serikali iliyomfanya kumshinikiza IGP kutoa amri ambayo kwa mujibu wa SHERIA hakuwa na mamlaka yao. Serikali na kwa serikali ninamaanisha JK aliingiwa hofu kuwa Chadema itatumia nafasi hiyo kuzungumzia masuala mazito ya kitaifa(jambo ambalo ni haki
yetu kikatiba). Usalama uliohofiwa si wa Taifa bali wa JK na kundi lake, na kwa hofu hiyo tu wamepelekea umwagaji wa watanzania wasio na hatia. si kitu damu hiyo italia kwa Mwenyezi Mungu na hataacha kusikiliza kilio hicho kwa njia itakayompendeza YEYE.
THANK YOU MY PRESIDENT, DR SLAA YOU ARE LEADING US EVEN THOUGH YOU ARE NOT IN A STATE HOUSE. I SALUTE YOU SIR, AND GOD BLESS AND BE WITH YOU ALWAYS, YOU THE GREATEST WE HAVE.