Chadema waishiwa sera


Madhara ya kutokumaliza dozi ya tetenas ndo haya. Hujapona vizuri

 
JR ni mtaa mmoja wapo huko Arusha ni chini ya mbauda je ulilenga wapate ujumbe huu..halafu hii zarau kwa machali wa Arusha tutaikomesha tu...
 

Hakuna sababu ya mtu mwenye akili kusoma thread hii, mtumaji ni mgeni, a rookie, very very green, and very very light minded!

Wapi na lini alisikia hukumu ya rufaa ya G. lema!? kama huyu mtu si wa ajabu!, Hapa sio mahala pako go back to where you belong kwenye vijiwe na maskani za wakereketwa wa chama chako.

No research no right to speak, if you have to speak; then speak from the confines of your bedroom; safely from under your bed.
 
Wewe mleta thread hii unafuga nywele kichwani tu,jaribu kutumia akili katika upembuzi wa mada kabla ya kutupia humu jf.cdm is the most strategic political party i tanzania,wala haihitaji mtu uende darasani ili kuthibitisha hili..
 
Umeolewa somalia?Kumbe huna haki ya kuzungumzia maswala usiyoyajua wewe tunza ndoa yako na huyo mwarabu aliyekuoa achana na siasa za mapinduzi au umetumwa na watoto wa mafisadi mnakaa nao huko chunga sana kaulizako we mjinga
 
Kumbe ni mchuzi wa bata!

Hivi kupigana kwenye chaguzi zenu we unaonaje? Kushikiana mapanga, kutekana.

We lazima ni kipofu!
 
Sasa mikutano yao yote vikapu ndo vingi kuliko watu na Lema ndo mfuatiliaji wa hivyo vikapu mpaka anakosa muda wa kuwahutubia wananchi chezea chd wewe.

Chama Cha Mafisadi si mnazo mlizoiba wakati wote wa utawala wenu wa kidhalimu.
 
Sasa mikutano yao yote vikapu ndo vingi kuliko watu na Lema ndo mfuatiliaji wa hivyo vikapu mpaka anakosa muda wa kuwahutubia wananchi chezea chd wewe.
mtaseema yote ila mwisho wenu umeshakaribia na kaburi limeshachimbwa na hakuna mahali mtajificha,sali Mungu akuweke hai hadi uchaguzi mkuu kwani baada ya hapo vibaka na akina nguza watafunguliwa na mafisadi watasekwa ndani
 


Kuhusu wabunge wa kuteuliwa wa CDM ni kwamba kuna list ambayo imepangwa kufuata utaratibu wa vipengele vinne au vitano hivi kamasikosei, kimoja ni ELIMU ya mwombaji na vingine nimesahau, kisha hiyo list ikapelekwa tume ya uchaguzi-NEC na ndiyo hao NEC wanaoteua na siyo CDM, ila ukweli huu ndiyo utaratibu mzuri ukilinganisha nawa vyama vingine.
 

Ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipo ishia?
 
Wewe mleta thread hii unafuga nywele kichwani tu,jaribu kutumia akili katika upembuzi wa mada kabla ya kutupia humu jf.cdm is the most strategic political party i tanzania,wala haihitaji mtu uende darasani ili kuthibitisha hili..

Kamanda TEMILUGODA huyo mleta maada bado yuko usingizini anapaswa anawe kwanza ndipo aje humu,Pia ndo amejiunga humu maana ndo maana ameandika Jr badala JF.na Jr ni mtaa ambao uko Arusha.Kamwe magamba mtabaki kulala tulipoamka sisi.CCM mliingia Ikulu kwa mbinu tutawatoa kwa mbinu.
 
Mkuu naona hujui kinacho endelea Arusha bora ukae kimya! Kaa uko nje ya nchi(msumbiji) tuachie nchi yetu.

Yani wewe umekuja mara moja Arusha na umeshatoa hukumu, ungekuwa judge ninge kuunganisha kwenye wale majaji wa aliowasema mh Tundullisu .

Hata ujui kiini cha matatizo ya Wafanya biashara Arusha:

 
Lema anatakiwa kufanya kazi kusaidia Arusha kiuchumi hii ikiwa ni pamoja na kutangaza Arusha kwa watalii na kuongea na wafanyabiashara na kujadiliana shughuli mbalimbali za maendeleo. Kuelendeleza chama ni muhimu lakini Lema anatakiwa kufanya hizi shughuli pia. Arusha ni mji wa wafanyabiashara wadogowadogo na uchumi ukiwa duni unamuumiza kila mwana Arusha. Kama kuna mtu anajua Lema kafanya lini mikutano na wafanyabishara na kusikiliza malalamiko yao naomba aweke hapa
 
Mtoa mada ndiye kasihiwa sera ndiyo maana anakuja hapa kulia kabla hajatandikwa. Yaani mtoto wa miaka minne ana akili kuliko wewe!
 
Point of correction

sisi wana arusha ndo tunamtaka lema,na ndo maana tukamchagua na kura zetu zikaibiwa na ccm.
Ila siku zote hakhaipotei inacheleweshwa tu.
 
Mbona hueleweki> umeishiwa kabisa rudisha hiyo pochi kwa NEPI. Umeshindwa kazi uliyotumwa wewe ni Kilaza tu!!
 
CHADEMA AU CHADEMONSTRATIONS??JANGA LA TAIFA HILI LICHAMAA
😛eace::laugh::boxing::boxing:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…