CHADEMA waifungulia CUF njia…

cuf ilikuwa inasusia vikao zanzibar kwa muda mrefu mpaka mkaunda serikali ya mseto. soma historia chuki yako haikuokoi na mission yako
 
Mhh ndugu kajipange vizuri unapoleta uzi maana naona huna data za kutosha. unaotea kama uyoga! Fuatilia vizuri siasa za upinzani hapa TZ na nadhani ukipata uelewa fasta utaufuta huu uzi wako!
 
Mtu yeyote akiangalia hii video ataona kuwa chadema inafanya bunge kama genge la magumzo!!!

Ningekuombaubadilike na uwe neutral ili ulisaidie Taifa lako.Ungeanza kwanza nakumlaumu SPIKA wa bunge kwa kutofuata sheria zinazomlinda ili bunge liheshimike.Ameanza kuliharibu bunge na kuwa lahovyo ni SPIKA nawasaidizi wake kwa kupindisha sheria na kuacha unazi wa kichama uendelee ilhali wanajua fika nini jukumu lao.Unatakiwa kama mwanaCCM anayependa taifa lake anza na kumkaripia SPIKA na kumtaka ajiuzuru nafasi hiyo kwani haiwezi.Huwezi kusema tunabunge wakati limenyanganywa nguvu zote za kuibana serikali sababu ya upumbavu wa kushabikia mafisadi na wala rushwa wanaodhoofisha uchumi wa nchi.

Kwa sasa naomba nikueleze kwa ukweli kabisa Tanzania hatuna bunge tuna uchafu tu pale mjengoni.Nenda kwanza mjirekebishe muwe kweli wawakilishi wa mwananchi mnyonge halafu chadema wakipiga hizo kelele tutawanyooshea vidole siyo tu kidole.

Wansema hivi"TOA BORITI KWENYE JICHO LAKO ILI UONE KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO"
 

Hamad Rashid aliongoza upinzania Bungeni kwa ufasaha zaidi kuliko Mbowe...
 
Akili zako kamasi tupu hujuelewei hata kidogo.....kachukue posho yako Lumumba ccm sasa.
 
Hamad Rashid aliongoza upinzania Bungeni kwa ufasaha zaidi kuliko Mbowe...

historia inaonesha kuwa hamadi is best loser kwa kambi yake where as mbowe is the best gainer kama kiongozi wa upinzani! historia ni mwlimu mkuu haiitaji kuibishia kaka. shikamoo historia
 
historia inaonesha kuwa hamadi is best loser kwa kambi yake where as mbowe is the best gainer kama kiongozi wa upinzani! historia ni mwlimu mkuu haiitaji kuibishia kaka. shikamoo historia

Mbowe anageuza Bunge kuwa jukwaa la kampeni!!!
 
kama kila anayetoa mawazo tofauti na yako basi afe, itakuwa tz haina mtu kwani hata wao wenyewe kwa wenyewe wanatofautiana kiasi cha kuwaita wenzao wasaliti, wamenunuliwa na hata kuwaona kuwa hawafai katika nafasi fulani za uongozi kwa sababu tu wana mitizamo tofauti na yao. tusijifanye wote mpo perfect kiasi kwamba kumuona mwenzako kuwa hafai dhana potofu na yenye kujenga chuki katika jamii.
mtakapokuja kutawala nchi na mitizamo yenu ya chuki mtafanyaje? hamtaua watu kwa sababu tu eti walikuwa mnawachukia? acheni mawazo ya ajabu hii nchi yetu wote.
mungu ibariki tanzania.
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Ze Marcopolo bhana ! Japo nilichelewa kwenye huu uzi , lakini nimegundua kwamba Kitengo cha propaganda cha ofisi ndogo Lumumba kinahitaji Mabadiliko Makubwa sana , yaani unataka kwenda makaburini kufufua wafu ! Hivi kiongozi wenu ni Nape au Kinana ? Au wote kwa pamoja ?
 

duuuu!
Kila mwamba ngoma huvutia kwake.
 

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba hulka hizi za kuombeana kufa hatijawahi kuzisikia hadharani mpaka siku za hivi karibuni kwenye maugomvi ya bavicha!!!
 


Wanaofikiria kwa kutumia masaburi wewe mambo meeengi machafu yanayofanyika hovyohovyo ndani ya ccm umeona usemee vyama vingine wakati chama chako kimeoza kwa ufisadi,wizi,kuteka watu,mauaji,mikataba mibovu,yote unajidai hauyaoni unaona vyama vingine huna hata aibu fisadi mkubwa wewe na wenzako

Kichwa kikubwa kilichojaa tope hamna kitu,mnajidai hamuoni wananchi watawaonyesha ,

Au kwa kuwa unapenda chongo unaita kengeza
 


Waliomuombea Kikwete afe ni wa chama gani? Hiyo misikiti mitatu sijui minne?
 
Mbowe anageuza Bunge kuwa jukwaa la kampeni!!!


Ppsho za lumumba zitakutoa roho amegeuza bunge jukwaa la kampeni anamkampenia nani? Kwani saa hivi kuna kampeni ya nini? Mbona haueleweki wewe na siasa zako za maji taka?

Inaonekana huna kazi za kufanya kila wakati unashinda jf kupaka watu matope au umeajiriwa na mwigulu kwa kazi hiyo? Kijana tafuta kazi acha kupenda rahisi bila kufanya kazi umekalia kujipendekeza kwa viongozi ili uonekane ,hata udc hawakupi wanakugeuza KONDOM wanakutumia wakipata madaraka hawakujui,ndio tatizo la wengi wenu hamtaki kuumiza vichwa kufanya kazi ila kupewa posho tu
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…