CHADEMA wagawa bendera za UKUTA

Ikulu ikihamishiwa Dodoma Lowasa apangishwe majengo ya Ikulu ya DAR ili mzee Magufuli aendelee kukusanya kodi
 
Msiwe na hofu,tuna mpango wa kumpangishia lowasa ikulu ya magogoni ili adhma yake ya kuingia ikulu itimilike.

Kuweni wapole watoto wazuri,siku sii nyingi baba yenu na rais wa nyoyo zenu atatinga ikulu.
 
Hivyo vitambaa (bendera))muwape wabunge wenu wajifunike modomo bunge likianza..

Tunawatakia kila la heri katika kushika ukuta sisi tupo nyuma yenu.
 
Wawakatie na bima za afya siyo kuwapa vitambaa tu halafu wakitenguliwa viuno familia zao zinaingia gharama zisizo na miguu.
 
Safi sana UKUTA UKUTA UJENGWE KWANZA MIYONI MWA WATANZANIA
 
NI KWELI MBOWE NA LOWASA WANAPASWA KUWAKATIA BIMA YA AFYA WANYWA VIROBA WOTE WATAKAO ANDAMANA SIKU HIYO SI KUWAPATIA VITAMBAA VYA KUFUTIA DAMU NA VIROBA.
 
Wazee wa business tayari washabuni miradi jinsi ya kulamba pesa kutoka kwa akina maamuma ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…