Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,788
- 165,484
Hii kesi CHADEMA wanashinda mchana kweupe.Katika kusoma kwangu kote , sijawahi kuona mahali popote palipowahi kuandika DHULUMA IMEWAHI KUISHINDA HAKI , kama kuna kiongozi anayedhani ubabe wake utafanikiwa basi atakuwa amejidanganya vibaya sana !!!
Hujielewi, hata ukishinda mahakamani, polisi watapiga marufuku mikutano yenu tena, sijui mtakimbilia wapi. Huwezi kushindana na DOLAHii kesi CHADEMA wanashinda mchana kweupe.
Aibu sana kwa jeshi ka polisi kutii maagizo ya mtu kama sendeka .Hii kesi CHADEMA wanashinda mchana kweupe.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefungua upya kesi dhidi ya amri ya polisi ya kupiga marufuku maandamano na mikutano ya kisiasa baada ya kuifanyia marekebisho hati ya awali ya mashtaka kwa kuwaondoa baadhi ya washtakiwa.
Mawakili wa Chadema Gasper Mwanaliela, John Mallya na Paul Kipeja waliwasilisha mahakamani hati mpya ya madai kwa kuondoa wadaiwa wawili ili kukidhi mahitaji ya kisheria.
Wadaiwa katika hati mpya ya mashtaka iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Geita na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Awali, washtakiwa wengine walikuwa ni wakuu wa polisi Wilaya za Kahama, Maswa na Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Polisi, Nsato Mssanzya
Chanzo:Mwananchi online
Naona mwanga na haki vikipatikana kupitia mahakamaChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefungua upya kesi dhidi ya amri ya polisi ya kupiga marufuku maandamano na mikutano ya kisiasa baada ya kuifanyia marekebisho hati ya awali ya mashtaka kwa kuwaondoa baadhi ya washtakiwa.
Mawakili wa Chadema Gasper Mwanaliela, John Mallya na Paul Kipeja waliwasilisha mahakamani hati mpya ya madai kwa kuondoa wadaiwa wawili ili kukidhi mahitaji ya kisheria.
Wadaiwa katika hati mpya ya mashtaka iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Geita na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Awali, washtakiwa wengine walikuwa ni wakuu wa polisi Wilaya za Kahama, Maswa na Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Polisi, Nsato Mssanzya
Chanzo:Mwananchi online
Daima haki huwa inachelewaChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefungua upya kesi dhidi ya amri ya polisi ya kupiga marufuku maandamano na mikutano ya kisiasa baada ya kuifanyia marekebisho hati ya awali ya mashtaka kwa kuwaondoa baadhi ya washtakiwa.
Mawakili wa Chadema Gasper Mwanaliela, John Mallya na Paul Kipeja waliwasilisha mahakamani hati mpya ya madai kwa kuondoa wadaiwa wawili ili kukidhi mahitaji ya kisheria.
Wadaiwa katika hati mpya ya mashtaka iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Geita na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Awali, washtakiwa wengine walikuwa ni wakuu wa polisi Wilaya za Kahama, Maswa na Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Polisi, Nsato Mssanzya
Chanzo:Mwananchi online
Huo ndio muarobaini kwa hawa watawala wenye kutumia mkono wa chumaACT nao wafungue Dar