Chadema wacheni kupapatikia mahakama

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Inaonyesha wandugu mna tatizo kubwa sana ,na bado hamjalielewa hadi hii leo ,mnahitaji kusaidiwa kwa hili !
Hiv mnaelewa kuwa bado kabisa mahakama zetu hazijaweza kujitegemeaa katika kutoa maamuzi ya kesi za kisiasa ? Na haswa kesi hizi zinazozuka ? Kule Zanzibar walifika kusemaa hadharani kuwa hawatapeleka kesi zao mahakamani kwa sababu hawana imani na mahakama zao,hivyo mambo yakawa yanatekelezwa kimipangilio na mahesabu makubwa sana ,na hadi leo bado wamo katika kupigania mahakama ziwe huru.

Chadema mnatakiwa mulielewe hilo kuwa mahakama zetu hazipo huru na pale inapoamuliwa ifanywe faulu basi inafanywa na hakuna lolote linalokuwa ,hivi mpaka leo mna idadi ngapi ya kesi ,ngapi mumeshinda na ngapi mmeshindwa na ngapi zimetupiliwa mbali ?

Madai ya Katiba ni lazima yaambatanishwe na madai ya kuwa na mahakama huru,nawasilisha hoja.
 
Pamoja na kuwa huwa sikuelewi ila nakubaliana na wewe katika hili. Kesi ya Nyani kumpelekea ngedere
 
Wewe ni nani kuwafundisha cdm cha kufanya...

Ungewapenda sana ungewapelekea huo ujumbe kinondoni makao makuu.
 
Wewe ni nani kuwafundisha cdm cha kufanya...<br />
<br />
Ungewapenda sana ungewapelekea huo ujumbe kinondoni makao makuu.
<br />
<br />
Topical nachukulia kama umeingia JF kwa bahati mbaya, sema kwa kuwa una access ya mtandao tu lakini si mahala pako baba tafuta utapata otherwise try to be wise and inteligible usionekane mjinga/mlevi muda wote
 
Inaonyesha wandugu mna tatizo kubwa sana ,na bado hamjalielewa hadi hii leo ,mnahitaji kusaidiwa kwa hili !
Hiv mnaelewa kuwa bado kabisa mahakama zetu hazijaweza kujitegemeaa katika kutoa maamuzi ya kesi za kisiasa ? Na haswa kesi hizi zinazozuka ? Kule Zanzibar walifika kusemaa hadharani kuwa hawatapeleka kesi zao mahakamani kwa sababu hawana imani na mahakama zao,hivyo mambo yakawa yanatekelezwa kimipangilio na mahesabu makubwa sana ,na hadi leo bado wamo katika kupigania mahakama ziwe huru.

Chadema mnatakiwa mulielewe hilo kuwa mahakama zetu hazipo huru na pale inapoamuliwa ifanywe faulu basi inafanywa na hakuna lolote linalokuwa ,hivi mpaka leo mna idadi ngapi ya kesi ,ngapi mumeshinda na ngapi mmeshindwa na ngapi zimetupiliwa mbali ?

Madai ya Katiba ni lazima yaambatanishwe na madai ya kuwa na mahakama huru,nawasilisha hoja.

Ama kweli ukishangaa ya Musa basi subiri uone ya firauni, kweli nchi yetu tuna safari ndefu, sasa mtu kama huyu mwiba ukisoma thread zake nyingi hana tofauti na Maleria sugu, na leo hii hii kaweka thread inayotia kichefuchefu, labda tu itoshe kusema kwamba mungu anawachukia sana wanafki, kwa sababu haukuwa mpango wa mungu binadamu kuwa mnafki, huo ni mpango wa shetani.
basi bwana mungu anasema waziwazi ni bora uwe moto au uwe baridi, kuliko kuwa vuguvugu maana nitakutapika. Mwiba anajiingiza mwenyewe kwenye orodha ya kutapikwa na mungu.
 
Back
Top Bottom