CHADEMA waanza kumshtukia Fredrick Sumaye

CHADEMA waanza kumshtukia Fredrick Sumaye

Navy Boi, vipi umevurugwa asubuhi hii yote!!! Kanywe majii ya uvuguvugu au juice ya backresa utapata nafuu
 
Hoja ipo,lowasa huyo huyo alidai udom ni jitihada zake wakati si kweli na prof kikula anatoa kitabu cha kumuenzi kikwete ambaye ndiye mhusika mkuu wa kuanzishwa chuo hicho na kikula kaweka bayana uongo wa lowasa
 
Back
Top Bottom