kaijage kilembwe joshua
Member
- Oct 3, 2016
- 95
- 71
Km Unadhani CHADEMA wanaiga, na wanaiga mambo mazuri kuna shida gani?
Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.
Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.
Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.
Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
Sasa yapo kwenye katiba ya Chadema?Km Unadhani CHADEMA wanaiga, na wanaiga mambo mazuri kuna shida gani?
Lisu sijui kama anaweza siasa za sera. Naona amebobea kwa matukio.
Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.
Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.
Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.
Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
Mikutano IPO aina nyigi sio lazima iwepo kikatiba ndo maana hata wewe ukitaka unaweza kuwaalika ndugu jamaa na marafiki mkafanya kikao MF harusi maandalizi au kipaimara ili mradi tu msivunje SHERIA.Sasa yapo kwenye katiba ya Chadema?
Hakuna namna wataiga tuu, maana matukio waliokua wanayategemea , hakuna tena, mafisadi walio kuwa wanawanadi sasa wanawakumbatia.....
ACT NDIO MBADALA WA KWELI
Kwani kujadili masuala yanayohusu demokrasia lazima yawepo kwenye katiba?mbona unakuwa mvivu wa kufikiri?Sasa yapo kwenye katiba ya Chadema?
Lazima yawepo?Sasa yapo kwenye katiba ya Chadema?
Mkuu unadhani chades watajinadi vipi kwa watz ili waeleweke?
Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.
Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.
Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.
Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
ACT-WAZALENDO inapambana na ujinga popote pale ulipo.mbadala kwa ccm au chadema? ina maana Act wanapambana na chadema? nacheka sana....
mbona taasisi nyingi zina fanya makongamano kila mwaka sasa cha ajabu ni nini kufanywa na CHADEMA?Tangu lini Chadema wakafanya makongamano hasa hilo la kumuenzi Baba wa Taifa?
ACT-WAZALENDO inapambana na ujinga popote pale ulipo.