Huyo ni mfanyakazi wa ndani anamsaidia boss wake. Wewe unadhani ajira ni rahisi kiivoo??
Halafu hao chini ni waimba kwaya/ngonjera wakitumbuiza mkutano.
Jibu hoja kwenye thread hapo juu. usilete #janjajanja kama kaka zako kina Mboweeh!!
Hizo tuhuma zilizokuhamisha chadema ccm hazipo?
Au ndo kuruka small toilet kukanyaga big.toilet!
Tumishazoea hayo maujinga yenu...
huyo ni sisimizi tu bora amejiondoa mwenyewe.
Ukipanda treni siyo lazima ufike mwisho wa safari, unaweza kushukia njiani...
Mti wenye matunda ndo unaorushiwa mawe....
Ninyi CCM endeleeni na utahira wenu...sisi CHADEMA tunasonga mbele.
Watu wenye IQ kubwa ndo wapo huku.
Haijawahi kutokea DUNIANI MAREHEMU AKAPIGA KURA KUUNGA KATIBA ni TANZANIA TU.
invisible wa nini sasa#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.
Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??
Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.
Nashukuru wazazi kwa kunipeleka shule ,utegemezi wa vyama kuendesha maisha unakuwa mbumbumbu mpaka Yesu arudipo (Mimi mkristo).Kijana mwenzangu mwenye taaluma tumia taaluma yako vizuri ubaki wakuchambua pumba na mchele kwenye sanduku la kura tu.
Time table ipi? ya ufisadi?CHADEMA ni matapeli wanaoharibia watu future na timetable zao za maisha.....
unajua The Invincible#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.
Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??
Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.
hahahahaaaa, sasa invisible wa nini???Usikenue mdomo kwa jambo usilolielewa.
Hebu rudi nyuma ,tizama comment yakwanza kaitoa nani. then ujirekebishe. unless ,utaonekana mshamba humu ndani.
Soma contents ktk picha hizo.
Usikenue mdomo kwa jambo usilolielewa.
Hebu rudi nyuma ,tizama comment yakwanza kaitoa nani. then ujirekebishe. unless ,utaonekana mshamba humu ndani.
Comment ya kwanza kaitoa The Invincible, wewe uliyemwita kuitetea ni Invisible! Hawa ni members wawili tofauti na hata tungeamua kutafsiri maana ya hizo IDs, ziko tofauti kabisa. Rekebisha umwite anayehusika, isijekuwa unamwamsha mtu kajipigia zake usingizi.
Sisimizi alimuua tembo!
Treni ikiwambovu,ntaishia ata njiani nisije nikahatarisha maisha yangu mbeleni.Ndicho alichokifanya jamaa.
Lakini pia tunamshukuru kwakutunyunyizia #DATA muhimu juu ya uhuni wa CDM.
Mnalalamika ccm mafisadi wakati hata nyie Wezi tu.
Upuuzi mtupu huu.