Chadema waandaa bajeti kuikabili CCM

huyu kijana mwenzetu naye umaarufu unamlemea. by the way hongera zao kwa kumaliza tofauti zao wasiwasi wangu isiwe kuwa zimeahirishwa tu

Mgogoro huu umeahirishwa sana sana itakuwa ni kushindania umaarufu ndani ya chama, tatizo sio Zitto mwenyewe bali ni wale wanaohofia umaarufu wake wakidhania anaweza kuchaguliwa kwenye nafasi zao.
 
Demokrasia Africa ni ngumu bora wengine tujikite kwenye maswala ya jamii

Mo, unalosema ni kweli lakini tutakaa pembeni hadi lini?
Kwa miaka 50 tumeongozwa fikra za viongozi kama Nyerere na ndio waliotufikisha kweye uozo huu.
Je unataka bado tukae kando kwa another 50+ yrs.

Dont throw in the towel mkuu
 
Habari hii iwafikie wote waliokuwa wanasubiri mkono udondoke watasubiri sana wakati safari ndani ya CDM inasonga mbele, ila nime notice siku hizi taratibu wameanza kupungua nafikiri wameona upepo unakoelekea, nampongeza sana ndugu yangu Mwiba kwa kuwa na roho ngumu kuendelea kupambana na upepo wa kimbuga.
 
Zitto cdm hawana ubavu wa kumtoa..period

Atawachezea na mtaimba wimbo wake..kichwa kimetulia hicho
 
Ndicho tunachokitegemea kwani wewe unasemaje.

Hivyo hivyo msikichezee hicho kichwa ok (shikeni adabu zenu)

Huwezi kumtegemea muuza bar ku-run the show ok

Huwezi kutegemea Phd ya kanuni za kanisa..kuendesha sias ok (sasa mmegundua anafaa zaidi kule kwa pengo ok)

Good umeelewa somo
 
Hivyo hivyo msikichezee hicho kichwa ok (shikeni adabu zenu)

Huwezi kumtegemea muuza bar ku-run the show ok

Huwezi kutegemea Phd ya kanuni za kanisa..kuendesha sias ok (sasa mmegundua anafaa zaidi kule kwa pengo ok)

Good umeelewa somo
Sauti ya mkosaji uliyotegemea hayakufanikiwa pole sana welcome to the board.
 
Hivi katika hicho kikao hawakujadili ombi la Hamad Rashid kuhusu umoja wa upinzani bungeni? Kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu hili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom