Ukuwa wawaachie majimbo ambayo chadema ina nguvu wasi nganganie pia uraisi chadema ndo watoe raisi kwa sababu wana nguvu labda makamo ndo atoke chama kingine
Sasa tutapata mkoloni mweupe?Segerea Mpendazoe alikosa kwasababu Wapinzani waligawana kura. i.e Jumla ya kura za Wapinzani zilikuwa zaidi ya CCM. Tarime CDM walikosa lakini kura za CDM + CUF zilikuwa zaidi ya CCM. The same scenerio kwa majimbo mengine. Je, nini kinachokufanya uamini kwamba 2015 hali kama hiyo haitatokea tena?
Lakini pia, lengo kuu la UKAWA ni kumuondoa mkoloni mweusi CCM madarakani, sio CDM kupata viti vingi vya ubunge. CDM ime sacrifice hayo kwa masilahi mapana ya Watanzania.
Nguvu ya chadema segerea ipo wapi? Mpendazoe mmemdanganya kuwa mtamsaidia katika kesi yake mpaka kafilisika anakimbilia kishapu kubahatisha labda mungu atamjaaliaKwa majimbo kama segerea, ukonga, kigamboni, Serengeti, morogoro mjini na kilosa chadema ina nguvu Sana ukilinganisha na vyama vingine ndani ya ukawa...mi naona Ni bora hayo majimbo vyama vingine vikakubari kugawana hayo mengine yaliyobaki..
Hivi unajua ulichoandika au ndio yale yale akili kama KENGEZA. Unachomaanisha kuwa Rais atoke UKAWA. halafu haujali hata kama CCM wakiwa na robotatu ya wabunge mjengoni? Na wasiwasi na upeo wako wa kufikiri
Wewe ni MBURUKENGE. I shall repeat again. THE MAIN OBJECTIVE/GOAL of UKAWA is to oust CCM from power, not CDM to get the lion shares of constituencies at the expenses of the other parties making UKAWA. Understood dude.
Sasa wewe shangazi mbona unahasira hivi umefukuzwa na mmeo?funguka mama yangu.
swissme
Kwa majimbo kama segerea, ukonga, kigamboni, Serengeti, morogoro mjini na kilosa chadema ina nguvu Sana ukilinganisha na vyama vingine ndani ya ukawa...mi naona Ni bora hayo majimbo vyama vingine vikakubari kugawana hayo mengine yaliyobaki..
Wewe ni MBURUKENGE. I shall repeat again. THE MAIN OBJECTIVE/GOAL of UKAWA is to oust CCM from power, not CDM to get the lion shares of constituencies at the expenses of the other parties making UKAWA. Understood dude.
Mkuu unaweza kuwa na point,lakini kwa sasa naomba tuangalie maslahi mapana ya taifaKama kweli tunataka mabadiliko UKAWA ivunjwe tu kwa sababu zifuatazo:-
1. Kuna baadhi ya majimbo CHADEMA walikuwa na nafasi 2010 lakini leo wamewapa CUF na NCCR Mageuzi.
i) Segerea - Mpendazoe alikosa kiduchu tu
ii) Tarime - CHADEMA ina nguvu
iii) Serengeti - CHADEMA ina nguvu... na maeneo mengine mengi.
2. Urais NCCR Mageuzi na CUF wanataka.Swali la kujiuliza mwaka 2010 dr. Slaa alifanya vizuri sana.
Mimi binafisi sioni umuhimu wa kugombania nafasi ya Urais kama NCCR Mageuzi na CUF wanataka Urais. Ni heri UKAWA ukavunjwa ili CHADEMA waendelee na hakuna kulala.
Na watapata wabunge wengi tu watakosa Kusini na baadhi ya mikoa kama Tanga na Zanzibar.
CUF na NCCR Mageuzi walivaba sana kujiunga na CHADEMA, time will tell karibuni. Mimi sina imani kabisa na hawa jamaa wa Ufipa maana wamekaa kiuchu uchu na usakatonge.