KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
Unaweza kuyataja hayo majimbo mkuu, ili na sisi tupate mwanga.
Segerea Mpendazoe alikosa kwasababu Wapinzani waligawana kura. i.e Jumla ya kura za Wapinzani zilikuwa zaidi ya CCM. Tarime CDM walikosa lakini kura za CDM + CUF zilikuwa zaidi ya CCM. The same scenerio kwa majimbo mengine. Je, nini kinachokufanya uamini kwamba 2015 hali kama hiyo haitatokea tena?
Lakini pia, lengo kuu la UKAWA ni kumuondoa mkoloni mweusi CCM madarakani, sio CDM kupata viti vingi vya ubunge. CDM ime sacrifice hayo kwa masilahi mapana ya Watanzania.
Unalalamika kwa nani sasa.Mi lalamiko langu sio mgao wa majimbo bali ni wana UKAWA wengine kutokuwekeza majimboni,vijana wao wapo ofisini tu,wazee kama Prof.Lipumba na Dr.Slaa kutwa kuwatafutia kura
Huu umoja ni muhimu, lakini chadema wameungana na vyama dhaifu vilivyo jichokea, mi nashangaa chama kama NCCR kinavyojitutumua uraisi, wakati ina wabunge wanne tu. Na vyote havijafanya harakati zozote za kuhamasisha, wapo maofisini tu wanasoma magazeti wanasubiri chadema wafanye mikutano nchi nzima bila kulala. Ngoja tuwabebe mwaka huu tuone out come yakeKinachosikitisha ni baadhi ya vyama kung'ang'ania majimbo ambayo hawajawekeza kabisa. Wakati CHADEMA wanafanya mikutano na kuhamasisha wananchi kujiandikisha, wao wapo majumbani kwao tu.
Hatuwezi kuota kwenda ikulu huku wenzetu wamekaa tu na hiyo nia dalili ya kugawa majimbo bure kabisa kwa CCM.
kwa kweli,mleta uzi ana pointi ya msingi sana lakini ngoja tu tuseme kuwa un apoungana unasacrifce baadhi ya tunu zako.kwa mafano jimbo la serengeti,katibu mkuu wa nccr mh.mosena nyambabe analing'ang'ania lakini ukiangalia,nccr haina hazina yoyote ktk hilo jimbo,haina hata ofisi moja ya tawi jimbo zima.
Na huyu mh.amekuwa akigombea ktk hili jimbo miaka nenda rudi lkn hajawahi kuwa tishio kwa ccm hata siku moja.leo hii cdm imeimarika serengeti,viongozi wa cdm vitongoji,vijiji na kata kila kona ya jimbo,vijana wa boda boda pale stendi ya mugumu mjini kila wakilala wakiamka ni cdm leo unaenda kuwambia eti nccr ambayo hata hawajawahi kuujua huo msamiati hapo kabla.
Huu umoja ni muhimu, lakini chadema wameungana na vyama dhaifu vilivyo jichokea, mi nashangaa chama kama NCCR kinavyojitutumua uraisi, wakati ina wabunge wanne tu. Na vyote havijafanya harakati zozote za kuhamasisha, wapo maofisini tu wanasoma magazeti wanasubiri chadema wafanye mikutano nchi nzima bila kulala. Ngoja tuwabebe mwaka huu tuone out come yake
SAMAHANI ZANZIBAR SIO MKOA....mistypo
Kama NCCR na CUF ni vyama DHAIFU, hebu nitajie hivyo vyama VYENYE NGUVU ambavyo ungependa CDM iungane navyo?
Inaelekea napoteza muda wangu kumjibu mtu ambaye has no iota of political landscape of Tanzania.
wewe sheeenz zanzibar sio mkoa kua na adabu na baba zako