Wajinga kweli kweli. Zitto hajahama. Kwani walimchagua awe katibu msaidizi? Sasa kasema hahami.Bora wangesubiri afukuzwe ndio nao wahamie ugambani. Poor Kigoma kaskazini.Kumbe wote wako kama yy MM.
Wananchi wa jimbo la Kigoma kaskazini waliokua wanachama wa chadema wamevunja ofisi ya chama na kuharibu kwa moto mali za chama hicho pamoja na kuchoma kadi zao za uanachama kwa kile kinachodaiwa kupinga maamuzi ya kamati kuu ya chama hicho kumvua nyadhifa zote mbunge wao kipenzi Mh. Zitto Kabwe.
Wananchi hao wamesema iwapo chadema haitatengua maamuzi yao hao watakua upande wa Zitto hata ikibidi kuhama chama watahama naye
SOURCE:-habari za saa ITV
Tatizo kiongozi mkuu wa chadema yuko "too local"...
Zitto ni msaliti, badala ya kumshauri Zitto ajirekebishe na kukiri makosa yake mnalazimisha kamati kuu iliyotekeleza majukumu yake kwa haki itengue? kwali akili zingine zinahitaji counselling
.....taratibu tu watajitambuwa!!!
Makamanda tunasonga mbele hakuna kurudi nyuma anayerudi nyuma kunasiku atatuelewa!!!!