Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Wewe mtoa taarifa ni nani?Kuna Taarifa kutoka ya Moja ya Mtandao umeripori kuwa John Mnyika (MB) Amejivua Uwanachama wa Chadema Taarifa hizo si za kweli na John Mnyika anaendelea na Majukumu yake ya Kichama na Kibunge kama Kawaida
CHADEMA
Wewe ni nani yake?Kuna Taarifa kutoka ya Moja ya Mtandao umeripori kuwa John Mnyika (MB) Amejivua Uwanachama wa Chadema Taarifa hizo si za kweli na John Mnyika anaendelea na Majukumu yake ya Kichama na Kibunge kama Kawaida
CHADEMA
uwezi kunielewa kama upo Lumumba mimi si Nyoka wa Kijani ni Mwandishi wa HabariWewe mtoa taarifa ni nani?
Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea Mwenye Haki zote zakutoa Taarifa Unajingine?Wewe ni nani yake?
Hata Dr mlisema hivihivi . Ndoja tusubiriKuna Taarifa kutoka ya Moja ya Mtandao umeripori kuwa John Mnyika (MB) Amejivua Uwanachama wa Chadema Taarifa hizo si za kweli na John Mnyika anaendelea na Majukumu yake ya Kichama na Kibunge kama Kawaida
CHADEMA
Siku wakimpata huyu mesi wetu,watavunja kibobo cha bank kuu,na ccm itafilisika rasmiKuna Taarifa kutoka ya Moja ya Mtandao umeripori kuwa John Mnyika (MB) Amejivua Uwanachama wa Chadema Taarifa hizo si za kweli na John Mnyika anaendelea na Majukumu yake ya Kichama na Kibunge kama Kawaida
CHADEMA
Utasubiri sana Ushauri Usije Kuota Sugu kwenye Makalio UkisubiriHata Dr mlisema hivihivi . Ndoja tusubiri
pole sana siyo vyote vingaavyo ni dhahabuHata Dr mlisema hivihivi . Ndoja tusubiri
Naona mko bize kukanusha mambo, UPEPO HAUPAKWI RANGI, acha uvume!Kuna Taarifa kutoka ya Moja ya Mtandao umeripori kuwa John Mnyika (MB) Amejivua Uwanachama wa Chadema Taarifa hizo si za kweli na John Mnyika anaendelea na Majukumu yake ya Kichama na Kibunge kama Kawaida
CHADEMA
Na wewe unaeuliza ni nani?Wewe mtoa taarifa ni nani?
Okay ngoja niendelee kuota SUGUUtasubiri sana Ushauri Usije Kuota Sugu kwenye Makalio Ukisubiri
na rangi ya kijani kumbuka ni sumu ukichanganya na gamba jeusi basi ni nyoka huyoNaona mko bize kukanusha mambo, UPEPO HAUPAKWI RANGI, acha uvume!
Dhambi ya watu wasiojulikana itatesa sana watuHahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku nikisia Tundu Lissu kahamia CCM ndio nitaamini kuwa kweli jamaa anapiga kazi iliyo TUKUKA