Hata mimi sioni kama kuna mgogoro, mgogoro unalazimishwa uwepo, Shoza kafanya makosa,kafukuzwa sasa analialia kwa kuchafua chama na viongozi wa chama kwa msaada kutoka nje ya chama hiyo ndio kweli ila kuna watu hawataki kuelewa.
Sioni sababu za viongozi wa chama kuanza kujibishana na watu kama Shoza jamani kunamambo mengi ya kufanya kujenga chama sio kulumbana na watu waliopewa tenda kubomoa chama.