Hali ikizidi kuchafuka vipi huyo alietoa tamko siyo mwanachama wa chadema sasa viongozi wa kitaifa hapa wanapaswa kufanya nini? juliana mbona anaweza kujibiwa na mwana chama yoyote ambae ni mwana chama wa chadema na julianakama wanachama wa chauma..Kwa akili za kawaida lazima tukubali kuongoza nchi ni kazi ngumu pengine kuliko zoote
kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu....sasa kama watu au mtu ambao wanajaribu
kuishawishi jamii kuwa wako tayari kwa kazi ya kuongoza Taifa unategemea kwamba
watu hao watakuwa 'makini' kwa jambo lolote lile dogo au kubwa linaloweza
'tia shaka' mbele ya macho ya watu wengine 'uwezo na utayari' wao wa kuendesha Taifa...
Kinachotokea BAVICHA sasa na huku Uongozi wa Taifa wa CHADEMA ukihushwa moja kwa moja au kukaa kimya
huku hali ya hewa ikizidi kuchafuka.....unajiuliza swali moja tu hapa..
'where is the leadership now'?
Hivi seriously hawaoni kuwa hii vurugu ya BAVICHA inaleta picha gani?
hasa kwa watu waliokuwa wanahitaji kushawishiwa kuwa kuna 'watu wenye uwezo wa kuongoza from CHADEMA'?
Kama chama tu kinayumba yumba na hakuna 'clear leadership in time of crisis ndogo kama hii ya BAVICHA'
Mtaweza kweli kundesha Taifa lenye watu millioni 45 wenye vichwa na vurugu tofauti?
Naona kama kundesha Taifa la watu milioni 45 ni ngumu zaidi kuliko kuendesha chama cha watu less than
two millions....sasa kama chama ni hivi...mnashawishi vipi uwezo wa kundesha Taifa?
Naona umeshindwa kuelewa point ya The BossHali ikizidi kuchafuka vipi huyo alietoa tamko siyo mwanachama wa chadema sasa viongozi wa kitaifa hapa wanapaswa kufanya nini? juliana mbona anaweza kujibiwa na mwana chama yoyote ambae ni mwana chama wa chadema na julianakama wanachama wa chauma..
The Boss kwa kweli kuna haja ya uongozi wa juu wa Chadema kuzungumzia hali ilivyo katika baraza la vijana la chama hicho.
Sisi washabiki wa Chadema tunajikuta tukijiuliza maswali mengi bila majibu
Naona umeshindwa kuelewa point ya The Boss
Mambo haya unayoyaona madogo huijui impact yake kwa watu wa chini kabisa wasio na uelewa na mambo ya siasa za maji taka na ambao wengi ni wapiga kura.
pale ambapo uongozi wa juu utakapotoa ufafanuzi kutaleta ahueni na kuwafanya washabiki wa Chadema wapumuwe.
Kumbuka kwamba haya yanayoonekana ni madogo yakitumiwa na maadui wa nje na ndani ya Chadema yataleta athari kubwa huko tunapoelekea
Kwa akili za kawaida lazima tukubali kuongoza nchi ni kazi ngumu pengine kuliko zoote
kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu....sasa kama watu au mtu ambao wanajaribu
kuishawishi jamii kuwa wako tayari kwa kazi ya kuongoza Taifa unategemea kwamba
watu hao watakuwa 'makini' kwa jambo lolote lile dogo au kubwa linaloweza
'tia shaka' mbele ya macho ya watu wengine 'uwezo na utayari' wao wa kuendesha Taifa...
Kinachotokea BAVICHA sasa na huku Uongozi wa Taifa wa CHADEMA ukihushwa moja kwa moja au kukaa kimya
huku hali ya hewa ikizidi kuchafuka.....unajiuliza swali moja tu hapa..
'where is the leadership now'?
Hivi seriously hawaoni kuwa hii vurugu ya BAVICHA inaleta picha gani?
hasa kwa watu waliokuwa wanahitaji kushawishiwa kuwa kuna 'watu wenye uwezo wa kuongoza from CHADEMA'?
Kama chama tu kinayumba yumba na hakuna 'clear leadership in time of crisis ndogo kama hii ya BAVICHA'
Mtaweza kweli kundesha Taifa lenye watu millioni 45 wenye vichwa na vurugu tofauti?
Naona kama kundesha Taifa la watu milioni 45 ni ngumu zaidi kuliko kuendesha chama cha watu less than
two millions....sasa kama chama ni hivi...mnashawishi vipi uwezo wa kundesha Taifa?
Mwanangu The Boss wala usihofu. Kama CCM inaweza kuendesha nchi tena kwa autopilot hata CDM wanaweza ingawa it is a calamity. Nionacho hapa Tanzania ni kwamba tunapata viongozi wanaofanana na watanzania. Sipendi kutoa hitimisho la jumla ila nchi yetu inahitaji kubadilika vinginevyo kila kibaka atakuja na kutuibia kuanzia babu wa Loliondo, wachungaji na mashehe uchwara hadi wanasiasa uchwara. Waingereza husema; show me your friends I will tell you who you are. CDM ikubali ina crisis tena ya kujitakia. Kwanini kuruhusu nguo chafu kufuliwa hadharani badala ya kuzifua mapema? Mwanangu hapa una hoja.
je una data kutusaidia kujadili, lkn pia lazima mjue uongozi wa watu sio kazi nyepesi na wakti mwingine unafundishwa ni bora ukae kimya kwa muda fulani ili ujue hisia za kila mtu kabla ya kujibu. ukijua hisia na tabia za kila mdau katika jambo unaweza kutoa majibu yanayowatosheleza wote. kama hujui hi ni moja ya mbinu thabiti ya uongozi. je si umeona nyinyiemu wanavyokurupuka na matamshi yao kubezwa na watu hata kufikai mahala kuwazomea????
Mi nikajua niko kwenye jukwaa la mapenzi!!!! Kwa herini
Bi Shonza amesema Dr Slaa anakula shs milioni saba kwa mwezi za ruzuku.sijaona kama kuna mgogoro mkubwa mpaka ifikie hatua ya ku-judge kuwa CHADEMA watashindwa kuongoza nchi! kwanza wale wote waliokuwa wanaleta sintofahamu BAVICHA tayari walishaondolewa, hawa akina Juliana wanaokuja hapa na hoja za kimipasho sio viongozi wa BAVICHA tena,,,kifupi CHADEMA hapa imeonyeshs ukomavu wa hali ya juu!