Mkuu taratibu utajeruhi watu aisee...Baada ya Magufuli kupitishwa kugombea Urais alipewa nafasi ya kuzunguka kujitambulisha Mikoani.
Sasa ili tuone nani zaidi naye mh Lowasa azunguke Mikoani kujitambulisha.
Hapo ndipo mtajionea Mafuriko ya Lowasa.
Baada ya Magufuli kupitishwa kugombea Urais alipewa nafasi ya kuzunguka kujitambulisha Mikoani.

Si ndio kampeni yenyewe hiyo?Kuna umuhimu wa kufanya hivyo kwa sababu kuu tatu: 1. kumtambulisha kama mwanachama mpya wa Chadema, 2. kama mgombea Urais kwa tiketi ya Ukawa, 3. kuweka ukweli juu ya mambo ya Richmond
yes, mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mkuki .
atakata tamaa mapema,na hata ukawa watabadili mawazo na kumrudisha slaa agombee....
anyway,atawapata bodaboda...