Alaaa mipasho kwa vipi kukwambia kwamba kuna viongozi wa Chadema waongo na wafitini? Ama ya kwamba uongozi wa kamati kuu CDM wamekuwa na maamuzi mabaya na yametokana na baadhi roho zao mbaya!.[/COLOR]
Ukishaanza mipasho hapo ninakuwa sina la kukusaidia zaidi ya kukuignore kama nifanyavyo kwa wengine..
Si kwamba mipasho, kejeri au matusi siwezi bali ni kwa vile hayo nimeishayavuka.. Njoo kivingine tujadiliane.. Huu ni mjadala si ugomvi na wala hatutafuti mshindi.. bali tunapanuana mawazo na kujifunza mambo mbali mbali kutoka wa watu mbali mbali...
Kwanini ni Dr.Slaa tu ndio wakuwekwa mtu kati kwanini isiwe Mbowe, Mbatia na Lissu kama bado ni wanasiasa wa kuaminiwa na kama kweli Lowassa wanamtumia kwa sababu ya mabadiliko au wana motives tofauti.
The Alibi so far on what is going on.
Prof.Lipumba
Huyu ndio wa kwanza kujitoa katika uongozi wa UKAWA kwa madai ya kuwa agenda imebadilika na vilevile dhamira inamsuta. Dhamira gani? tunajua wagombea wa uraisi wa UKAWA walikaa na kukubaliana ya kuwa Dr.Slaa ndio atapepea bendera. Hili Lipumba alilisema hadharani na Mbatia amelirudia. Kwa hivyo through series of events Dr.Slaa awezi kupokewa au kujadiliana na UKAWA kuwa mgombea wao kama CDM walikuwa awajampitisha bado.
Kwanini sasa Lipumba aondoke ghafla wakati ndio mtu aliyeandika waraka wa kumpokea Lowassa mara alipoingia kwenye mkutano wao, waraka uliosomwa na Mbatia. Ina maana mpaka dakika hiyo maamuzi ya kuwa Lowassa atakuwa mgombea wa UKAWA yalikuwa bado ayajaamuliwa na pengine maelewano ilikuwa support yake tu ndio wanayo itaka. This is the only reason why Lipumba left baada ya Lowassa kupewa unahodha wa kambi.
Dr.Slaa
Nilikuwa tayari nimeshapitishwa na chama kuwa mgombea wao kwa taratibu za ndani; kilichobaki ina maana ni ilikuwa ni public appearance tu. Jumlisha na facts za kuwa kulikuwa na mgogoro mkubwa sana kupata mgombea wa UKAWA ambao ilibidi watu watoke Dodoma na wakae mpaka saa tisa za usiku ina maana Dr.Slaa nayeye alikuwa tayari keshajiandaa kugombea uraisi pia. Kwa vyovyote vile ujio wa Lowassa kwa Dr.Slaa ni mkakati wa kuivuriga CCM kwenye campaign zake kwakuwa aliahidi kuja na wafuasi na kulikuwa na some elements of that based on his nomination campaign support aliyokuwa nayo CCM ilikuwa ni dhahiri mpaka wanachama kuimba nyimbo za kukosa nidhamu ndani ya kikao chao baada ya kukatwa kwa Lowassa.
Tundu Lissu
Dr.Slaa alishapitishwa na vikao halali vya chama kuwa mgombea wa chama chetu kwa nafasi ya uraisi. Inathibitisha zaidi by now Dr.Slaa alijua ya kuwa yeye ni mgombea tayari na ujio wa Lowassa usingeweza tengua hilo ata kama huku pembeni alikuwa anaongea na Gwajima kuhusu Lowassa sidhani kama lengo ujio wake uwe kwa sababu ya uraisi.
Baada ya hizo events nadhani kilichofuata ni hiki kutoka kwa timu ya Lowassa kwa kuitazama safu ya watu walio CDM
especially kama walianza kumfuata wakati bado yuko kwenye campaign za kuwania uongozi kupitia CCM.
Ukiangalia tu historia yake ya kutoa vibaasha sidhani kama anawapa viongozi kwa sababu ya kura moja zao, bali anajuwa wanamakundi ya wafuasi wenye uwezo wa kumpa kura nyingi tu. Kwenye ethics wanasema uwezi defy nature ya kitu viumbe vinatabia ya kurudia mambo yaleyale given the challenge or circumstances.
Je iliwezekana vipi Lowassa kupitishwa kuwa mgombea wa CDM na UKAWA kitendo kilichopelekea prof Lipumba kuacha uongozi maana hata kama CDM walimptisha surely Lipumba utegemei nayeye akubali kirahisi kwa sababu tunajua kwa Dr.Slaa tu ilichukuwa alot of convincing from his other leaders kukubali. Na kwanini CDM ilivunja kanuni zake za ndani maana Dr.Slaa walishamteua kususa kwa Dr.Slaa sidhani kama ni kwa hoja zake tu bali kutolewa kwenye position aliyokuwa keshapitiwa na chama chake pamoja na viongozi wa vyama vingine.
Tukirudi kwenye nature ya Lowassa kwanini tusiamini hakutumia tena vibaasha vyake kununua viongozi wa UKAWA kupata support ya watu wao ili kuendeleza ndoto yake ya uraisi; je hii ndoto inaendana na vision ya UKAWA.
If you ask me there is no historical evidence to back that claim kwamba Lowassa anamapenzi na upinzani ni ndoto zake tu za uraisi na kwa njia zilezile anazotumia ndio zimemfikisha kileleni upinzani pia, why should anyone believe akiukwaa uraisi atabadilika wakati all the evidence points otherwise.
Sielewi kwanini watu amumuoni huyu mtu for what he is na jinsi gani Mbowe, Mbatia, Lissu jumlisha na Sharif Hamad walivyokuwa si watu wa kuaminiwa. Mimi bado namueshimu sana Dr.Slaa na Prof.Lipumba ndio watu pekee walio na morals ata kama walibariki ujio wa Lowassa sio kwa sababu ya kuuza nguvu zao pia na kuwapa mafisadi platform nyingine. Huyo Mbowe ndio kabisa hana loyalty yaani kejeli za jana kwa Dr.Slaa sikuamini kama anaweza rusha vijembe vya namna hile inawezekana ata Dr.Slaa alikuwa anamtumia pia kuongeza wabunge na ruzuku ya chama.
Siasa za Tanzania zimekuwa kichekesho,yaani kweli huu yashutuma zote alizotoa Slaa mwenyewe , ananon'gonezwa kwamba Lowasa kahonga maaskofu 30 halafu bila kuchunguza ana jiunga kwenye mazungumzo ya kumkaribisha chamani na kumsikiliza na kumuwekea masharti?Bado najiuliza Gwajima ana interest gani na urais wa Lowassa? Imekuwaje mpaka Lowassa akamuamini Gwajima kiasi kikubwa hivyo. Dr. Slaa anasema Gwajima amemwambia kuwa Lowassa kawahonga maaskofu 30 ili wamuunge mkono, je iwapo hili ni kweli, siasa za mgombea wa namna hii zina athari gani kwa taifa?
Bado naamini kujadili vitu vyepesivyepesi badala ya mambo makubwa ni kutokulitendea haki taifa...
Bado najiuliza Gwajima ana interest gani na urais wa Lowassa? Imekuwaje mpaka Lowassa akamuamini Gwajima kiasi kikubwa hivyo. Dr. Slaa anasema Gwajima amemwambia kuwa Lowassa kawahonga maaskofu 30 ili wamuunge mkono, je iwapo hili ni kweli, siasa za mgombea wa namna hii zina athari gani kwa taifa?
Bado naamini kujadili vitu vyepesivyepesi badala ya mambo makubwa ni kutokulitendea haki taifa...
Sasa swali la kujiuliza wakati wanazunguka nchi nzima kutangaza kuwa Lowassa ni fisadi alikuwa hajafanya research ya kutosha? Ina maana alikuwa hana uhakika ni kile anachotulisha, Je ndio maana akamkaribisha Lowassa Ukawa?
Na je vipi ile list of shame alifanya reseach ya kutosha isije kuwa nayo hana uhakika nayo.. Yaani katika wanasiasa niliyowapenda na kuamini kila watamkalo alikuwa Dr, Slaa hila huu ulaghai na uongo alionza kwa kweli amenisikitisha sana sikutegemea mzee mzima kama yule ukaa mbele ya camera ya kutulisha uongo..
Anasema Sumaye hawaongei.. Ex wake anasema alimpa No. ya simu Sumaye wiki tatu zilizopita, na waliongea vizuri tu, anasema mshahara wake alikuwa anachangia chama na wao wanakula Mihongo, anaulizwa vipi hii press nani kalipa nabaki kusema kwani nilipokwenda USA mara mbili nani alilipa maana chama kilinipa sh. Laki Tano.. Sasa jamani kama mtu mzima unaongopa kwa vitu vidogo namna hii itakuwaje kwa mambo makumbwa ambayo hatuwezi kuyafatilia na kuwa na uhakika na unachokisema? Nimeumia sana..
Kama ni swala la kutoa na kupokea rushwa, sote humu ndani tukiwa wakweli, baada ya Dr. Slaa naye kupokea mlungula ninaweza kusema tena kwa kujihamini wanasiasa wote wa Tanzania ni watoaji na wapokeaji rushwa, si Kikwete, si Kinana, si Mbowe, si Lipumba, si Zitto, si Dr. Slaa si Lowassa, si Mbatia ila hizi kelele tunazozisika kuwa ooh fulani ni mtoa rushwa, ooh fulani kapokea rushwa wanakuwa wamezidiana madili yao..
Huwezi kuniamba kuwa Dr, Slaa amejitoa Chadema ameachana na mshahara wa mil.11 kwa mwezi kwa vile ana uchungu sana na watanzania na. ndio maana anapingana na Lowassa lakini Magufuli na CCM hatii neno wakati machungu ya CCM anayafahamu vizuri.. Hizi huruma kwa watanzania zimetoka wapi?
Kuhusu viongozi wa dini kuwa watabiri wakiwa sehemu ya utabiri nakubaliana nawe kabisaKwahiyo Gwajima, kama nimekuelewa, maslahi yake ya urafiki tu? Umefafanua vizuri evolution ya uhusiano wa Slaa na Gwajima, ila urafiki wa Lowassa na Gwajima hujaelezea uko based on nini?
Je, maadili ya kazi ya utabiri yanasemaje pale mtu anapotabiri fulani atakuwa Rais kumbe chinichini anamfanyia mikakati ashinde? Nadhani kuna haja ya kudevelop utamaduni wa watu kufanya declaration of interest ili wanaosikia utabiri wajue kuwa kuna conflict of interest. Ni safi zaidi kiongozi wa dini kutoa public endorsement kwa mgombea kuliko kushiriki kwa siri.
Kuhusu list of shame, hivi ile list ni ya Dr Slaa au ya Chadema? Kama list au agenda ina mapungufu, anayebeba lawama za kutokufanya utafiti ni Slaa au Chadema? Nakumbuka list of shame iko mpaka kwenye ilani ya uchaguzi ya Chadema ya mwaka 2010-2015. Kwa misingi hiyo sidhani kama ni sahihi kumbebesha Dr. Slaa personally mzigo wa lawama kuhusu list of shame. Kwahiyo baada ya kuuliza kama Slaa hakufanya research ya kutosha, swali sahihi ni iwapo Chadema haikufanya research ya kutosha.

Hivyo basi tukianza kuwahukumu watoa rushwa tuwahukumu wote bila kuangalia ni akina nani na wanafanya nini..
Hapo unaposema Dr. Slaa amepokea mlungula bado sijakuelewa mlungula ameupokea kutoka kwa nani?
Kule mwanzo nilitahadharisha kuwa jukwaa la great thinkers lisichukue sura ya kampeni na propaganda. Kuna vitu unaandika ambavyo haviendani na hili jukwaa.
Kwahiyo Gwajima, kama nimekuelewa, maslahi yake ya urafiki tu? Umefafanua vizuri evolution ya uhusiano wa Slaa na Gwajima, ila urafiki wa Lowassa na Gwajima hujaelezea uko based on nini?
Je, maadili ya kazi ya utabiri yanasemaje pale mtu anapotabiri fulani atakuwa Rais kumbe chinichini anamfanyia mikakati ashinde? Nadhani kuna haja ya kudevelop utamaduni wa watu kufanya declaration of interest ili wanaosikia utabiri wajue kuwa kuna conflict of interest. Ni safi zaidi kiongozi wa dini kutoa public endorsement kwa mgombea kuliko kushiriki kwa siri.
Kuhusu list of shame, hivi ile list ni ya Dr Slaa au ya Chadema? Kama list au agenda ina mapungufu, anayebeba lawama za kutokufanya utafiti ni Slaa au Chadema? Nakumbuka list of shame iko mpaka kwenye ilani ya uchaguzi ya Chadema ya mwaka 2010-2015. Kwa misingi hiyo sidhani kama ni sahihi kumbebesha Dr. Slaa personally mzigo wa lawama kuhusu list of shame. Kwahiyo baada ya kuuliza kama Slaa hakufanya research ya kutosha, swali sahihi ni iwapo Chadema haikufanya research ya kutosha.
..Dr.Slaa sasa hivi yuko karibu na Dr.Mwakyembe na Mwigulu Nchemba.
..kwa mtizamo wangu Dr anapaswa kuwa makini sana na hawa marafiki zake wapya.
cc Rev. Kishoka, Nguruvi3, Alinda, ZeMarcopolo
Mkuu nadhani kuna wakati tukubaliane kuwa tofauti ya mawazo inajenga. Pia tuangalie mambo kwa upana wakeHapo unaposema Dr. Slaa amepokea mlungula bado sijakuelewa mlungula ameupokea kutoka kwa nani?
Kule mwanzo nilitahadharisha kuwa jukwaa la great thinkers lisichukue sura ya kampeni na propaganda. Kuna vitu unaandika ambavyo haviendani na hili jukwaa.
Mkuu , hapa nadhani hutendi haki. Umechukua kauli zisizo na uthibitisho, na sasa unataka zijadiliwe kama jambo kubwa la kitaifaBado najiuliza Gwajima ana interest gani na urais wa Lowassa? Imekuwaje mpaka Lowassa akamuamini Gwajima kiasi kikubwa hivyo. Dr. Slaa anasema Gwajima amemwambia kuwa Lowassa kawahonga maaskofu 30 ili wamuunge mkono, je iwapo hili ni kweli, siasa za mgombea wa namna hii zina athari gani kwa taifa?
Bado naamini kujadili vitu vyepesivyepesi badala ya mambo makubwa ni kutokulitendea haki taifa...