CHADEMA/UKAWA,mnahitaji uhuru gani?

Uhuru wa kupata Taarifa


Japo tujibiwe Jesca amefikaje Chuo kikuu na kuwa mwaka wa pili mwaka huu wa masomo .
 

Achana na hao, wamechizi Magufuli ana 4G wakati wamekomaa na 3G.

Kama vipi ibuka desire hapa upate moja barriiid
 

Tawi lishaasi na kuwa la chama tawala.
Poleni sana, Issue ya Mawazo ya nn tena labda cheki na dada Pendo, mbunge anayemaliza muda wake
 
Her!! Wee jamaa simu umenunua nyingine au, maana ile si wamefunga?
 

Paul Alex.
Ulipomalizia ndio mie naendeleza.

Nakuonea huruma maana uchaguzi mlipigwa, naomba unieleze ni wakala yupi alidai matokeo ya chadema yaliibwa.
Kama hamna tambua liko tatizo kwa wanaojifanya waliporwa kura.

2010 tulishuhudia baadhi ya majimbo kura zikiibwa mfano segerea Makongoro wa ccm enzi zile leo chadema alimfanya mbaya Mpendazoe, figisu la mnyika ubingo alimanusura akose ubunge.

2015 wapi uliskia vurugu, zaidi ya nyumbu waliodai popote ulipo na sie tupo.

Musoma makini walimpiga mpaka deki barabara mbona ndio la jumbo la kwanza kutangazwa Vicent Nyerere nje, nalo pia unabisha.

Mikoa yote ya kanda ya ziwa kama sio nchi nzima iliduwaa kuona mmeleta mgombea aliyekataliwa na baba wa taifa 1995, na kielelezo cha fiasco,mlitia pamba maskioni acheni dozi iwaingie.

Election aftermath inawasumbua, nawapa pole sana na povu mnalotoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…