CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #41
Mimi ni mtanzania mzalendo.Halafu wewe limjamaa ni libishi! Au wewe ni mhangaza??
Mimi ni mtanzania mzalendo.Halafu wewe limjamaa ni libishi! Au wewe ni mhangaza??
Mambo kama yapi mkuu?Huna akili za kupambanua mambo ndiyo shida yako.
Hoja ni nini mkuu?Unajua maana ya hoja? Ukweli ulionao niupi? angalia usijeropoka vimbwanga ukambangwa!!!!