CHADEMA / UKAWA kuanza sera zao rasmi

CHADEMA / UKAWA kuanza sera zao rasmi

Zipo dalili za wazi kuwa CHADEMA / UKAWA kuanza kutoa sera zao katika kipindi cha mwishoni kabisa cha kampeni. Hii inatokana na ukweli kwamba wanatumia muda mwingi kumshafisha mgombea wao wa kiti cha Urais, Lowassa kuliko kuwaeleza watanzania watawafanyia nini kama watapewa ridhaa ya kuchukua dora. Hivyo kuna dalili za wazi kuwa watakumbuka shuka kumekucha.
wee jamaa unashida sana
 
Hivi ukiwa Ccm lazima uwe hamnazo?? Kwa akili yako ndogo umeshindwa kutambua muda wa kampeni kuwa bado?? CCM imeharibu kabisa vijana kiakili shame!
 
Ivi ukiwa upinzani mnakuwa hamnazo. Soma vizuri utaelewa, nimesema 'Zipo dalili za wazi kuwa CHADEMA / UKAWA kuanza kutoa sera zao katika kipindi cha mwishoni kabisa cha kampeni'. Kwakauli hiyo sijamaanisha wameanza...... soma, fikiria, tafsiri kisha jibu usiwe unakurupuka kujibu!
 
Back
Top Bottom