mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 188
Haturudii kosa na wala hatudanganyiki. nyie kuleni umbwabwa wenu na hao mashehena ubwabwa yenu.
halafu nikuulize swali we mleta hii thread, nani kakuambia kuwa uislam ni kanzu na kofia?
mi nlifikili nyie wagunya mmelegea miili tu kumbe hata akili ni legelegeNaichukia CHADEMA kuliko kitu chochote Duniani, na ndio maana huku Zanzibar watu hawana habari kabisa na Chama hich, 99.9% ya Wazanzibar imani yetu ni kwamba CHADEMA ni Kanisa na Kanisa ni CHADEMA na huo ndio UKWELI wenyewe!
2010 ccm/usalama walitumia nafasi yao kuwaaminisha waislam kuwa cdm ni chama cha kikristo, vipeperushi na nyaraka feki za katoliki/vatican vilitumika kuigandamiza cdm...hali ngumu ya maisha haina dini,wizi wa mali zetu hauna dini...uhuru wa dini ni wa kikatiba..mbinu hii ya kutumia dini inaanza kuligharimu taifa,muflisi wa kisiasa hili ndo kimbilio lao, wakienda kwa waislam ni propaganda/porojo za udini wa cdm... na wakija makanisani wanamwaga mamilioni ya michango bila maelezo(maana kanisani ukiongea pumba utaulizwa/hojiwa)... tuwakatae.hiii dhana huenda inaukweli kiasi fulani, ukiangalia misukosuko anayoipata Zitto ndani ya cdm, pamoja na juhudi na kujitolea kwake lakini hathaminiwi wala haaminiwi ndani ya cdm.
Ni mtazamo wako, imani yako na UKWELI wako mkuu. kimbunga kinakuja...Naichukia CHADEMA kuliko kitu chochote Duniani, na ndio maana huku Zanzibar watu hawana habari kabisa na Chama hich, 99.9% ya Wazanzibar imani yetu ni kwamba CHADEMA ni Kanisa na Kanisa ni CHADEMA na huo ndio UKWELI wenyewe!
Kwa mtazamo wangu Waislamu waumini wa kawaida wala hawana tatizo na Chadema na Chadema haina tatizo na waislamu, wakristo au dini yoyote ile. Tatizo ni wale vocal muslims, akina Sheikh Ponda na wenzake wa Annuur na Radio Iman.
Hawa wangependa chama cha siasa kitangaze from day one kwamba chama kitafanya hivi kitafanya vile kwa manufaa ya waislam ndipo wakiunge chama mkono. Sasa kwa chama cha siasa ni makosa makubwa kupandikiza mbegu za udini kwa namna hiyo.
Waislam yapaswa wakiunge mkono Chadema si kwa vile wao ni waislam, bali kwa kuwa ni Watanzania kwanza. Wakristo yapaswa wakiunge mkono Chadema si kwa vile wao ni wakristo, bali kwa kuwa ni watanzania kwanza.
Chadema wanalijua hilo na ndio maana namna zao za kujenga mahusiano na makundi mbalimbali zinawabeba wote kama watanzania. Kama wadini hawaitaki Chadema, basi ni tatizo la wadini. Si la Chama.

Tuko pamoja, cdm hapa jf tuache kashfa za kidini hazitusaidii, zaidi zinawasaidia watawala ambao hatujui wanawalisha nini ndugu zetu ktk suala zima la udini na cdm...nb:huwezi muita Dr Slaa kuwa ni Mkristo kwani hakuna Mkristo mwenye wake 2 duniani..Pia wengi wetu humu JF ni wadini hatari na huwa tunatoleana maneno machafu na kukashifiana kidini na hili hujionyesha kwa wengi ambao ndio wafuasi wa CDM humu,kusema ukweli hili huwa linaleta taswira mbaya na kuwafanya baadhi waamini udini ktk CDM. Angalizo:Tujenge nidhamu na kuheshimiana kama ndugu moja na tutoe elimu kwa wale wanaopenda maendeleo kwa maslahi ya Taifa zima.Pia tuache kashfa za kidini kwani mwisho wa siku hazitatupeleka tunakotegemea milele.Tuige mfano wa nchi ambazo ziliamua kwa pamoja kuleta mabadiliko na zikaweza
Nipo pamoja nawe... Umeniwahi... Unakumbuka moja ya hoja ya mahakama kutengua ubunge wa mshindi kule Igunga ni CCM kutumia viongozi wa kiislamu kuwashawishi waumini wasimpigie kura Mgombea wa CHADEMA,kwa mtazamo wa kidini na chuki pandikizi... Full propaganda..2010 ccm/usalama walitumia nafasi yao kuwaaminisha waislam kuwa cdm ni chama cha kikristo, vipeperushi na nyaraka feki za katoliki/vatican vilitumika kuigandamiza cdm...hali ngumu ya maisha haina dini,wizi wa mali zetu hauna dini...uhuru wa dini ni wa kikatiba..mbinu hii ya kutumia dini inaanza kuligharimu taifa,muflisi wa kisiasa hili ndo kimbilio lao, wakienda kwa waislam ni propaganda/porojo za udini wa cdm... na wakija makanisani wanamwaga mamilioni ya michango bila maelezo(maana kanisani ukiongea pumba utaulizwa/hojiwa)... tuwakatae.