CHADEMA: Ubunge jimbo la Chalinze


CDM pamoja na wapinzani au Wakiungana na chama chochote basi Chalinze wanaweza shinda kwa kishindo, hii ni kutokana na Ramani ya jimbo la Chalinze ina population kubwa pembezoni mwa barabara ya Morogoro road ambako pia watu wamechanganyika bila kujali udini eg Chalinze penyewe, Vigwaza Ubena Zomozi, Mbala, Magindu etc, ukabila na ukwere ukwere kidogo ni tatizo kule Msata, Lugoba, Msoga, Wami, Madesa.. etc kwani hao wanajali ukabila sana na ndio hako ka group kadogo ambako mara ya mwisho 2010 walionekana wakiwa na gari mbili tatu hivi asubuhi wakienda Ikulu kushuhudia na kuona ------ mwenzao akiapishwa kamwe sikuona mkwavi katika kundi hilo,...

CHANGAMOTO KUBWA NINAYOIONA KUKWAMISHA CDM NI UMASKINI WA WATU WA CHALINZE WAKATI YULE BWANA MDOGO ANAZO ZA KUTOSHA KUTOKANA NA BIASHAARA ZAKE HALALI NA ZISIZO HALALI
 
kuna watu wengine ubongo wao umejaa makamasi tu, yani wanatoa hoja nyepesi kisa CDM imeongelewa, kama huna hoja si lazima u comment. mtu katoa taarifa eti unahoji wanawakomboa watanzania gani, kawaulize ndugu zako, huna kazi ndio maana hujui majukumu. asante kwa taarifa kamanda, hao ambao hawalijui jimbo la chalinze waache wabaki na hisia zao za udini, na wajue chalinze ni kubwa sana na mabadiliko yapo., tendeni haki kumsimamisha mtu mwenye kuwatetea jamii ya chalinze.
 
Hao unaosema wajiandikisha?
 
haingii akilini eti waislam tuliomo chadema hatuna akili mbona hata ccm wapo wakirsto?vipi nyie wakwere?ccm na cuf acheni ubaguzi kutugawa kidini hiyo vita ya udini ni mbaya
 

Cc; Simiyu Yetu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Katika vijana punguani wewe unaongoza. Na nikuambie ukweli vijana wengi walio angukia kuwa mashoga walianza na tabia kama zako za kujikomba komba mwisho wakaombwa na wao ili kukidhi mahitaji yao wakakubali wakisema si leo tuu! Mwisho wanazoea. Wewe ulikuwa ndani ya Chadema kabla ya kufukuzwa na mama yako naambiwa ni diwani wa Chadema.
Mazingira ya wakati wa uchaguzi 2005 na 2010 watanzania wengi wanaelewa yalikuwaje. Hadi kufikia 2010 watu wengi makini walikuwa bado wanawoga wa kujitokeza hadharani na kugombea uongozi kwa tiketi za upinzani. Ni baada tuu ya Dr Slaa kuchafua hali ya hewa katika kampeni zake za Urais ndipo kila mtu akaelewa kuwa hakuna sababu ya woga tena na sasa kila mtu anaona yanayojitokeza.
Hivyo basi 2010 bado nafasi hizo za uteuzi walikuwa wanapewa hao wachache waliokuwa na vigezo vya kupewa. Kumbuka na chama kilikuwa kichanga ndio maana hata MTU KAMA WEWE ULIWEZA KUPATA NAFASI YA KAZI PALE HQ. Leo hii chama kimepanuka nani anaweza kukupa shughuli ya kufanya mtu kama wewe usiyejitambua?
Baki na kazi yako ya upambe huko CCM, ila kama nilivyo kutahadharisha hapo mwanzoni, usije angukia kutokuwa rizki kama bado hujawa hivyo maana naweza kuwa nakuonya kumbe tayari ushakuwa gwiji.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…