Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
Ahsante MPIGANAJI,Arusha tupo nanyi.
Chadema na wakwere/waislam wa chalinze wapi na wapi?
Mngelikua na akili ya mbali hiyo pesa inayoenda kwenye kampeini za chalinze mngeipeleka kwenye mradi wowote wa wabunge wenu walau hata jimbo moja au msaada kwenye kituo cha kulelea watoto yatima ili kumnusuru mbunge huyo na kimbuga kinachowanyemelea kwa kupoteza majimbo kibao 2015 kuliko kuifanyia kampeini.....
Hiyo nafasi cuf inawafaa sana lakini sio chadema....
Siasa za kibongo huitaji akili nyingi kuzichambua hasa linapokuja suala la udini/ukabila/ukanda...
Cuf kamata fulsa twende zetu.

Kwa kumwagia watu tindikali kweli ni chama makini.Chadema ni chama makini sana.
Chadema ni chama makini sana.
Jiandaeni kwa kipigo kingine chadema kwisha habari yao wamepotezwa na ACT.
Ni dhahiri kuwa wewe ni mmoja wa wale wasiopenda kuiona CDM ikiendelea na harakati za kumkomboa Mtanzania.