CHADEMA tuwahi kumbeba Dkt. Bashiru, atafaa 2025

Kanda ya ziwa tunajielewa. Kama alishindwa kutusaidia wakulima bei ya mazao yetu kupanda na kkutuepusha na kukopwa mazao yetu hadanganywi mtu atajijua.
 
Wazo mfu na kejeli! Stupid wazo kabisa!
 
Ati "chama changu CDM..." kweli!! Unaanza andiko kw style inayokusuta mwenyewe...duh! Ni uwendawazimu kumlinganisha Bashiru na Lissu - hilo tu linakufanya kituko mbele ya makamanda. Mwambie arudi alikotoka kunakomstahili na mwambie CDM mkusanyiko wa vichwa sio "madafu", hawahitaji vitu kama hivo. Lkn pia, kakutuma? Siku nyngne tumia ubongo ktk kupendekeza mambo kw CDM la sivo watu watakuona mwehu...dah!
 
Mpumbavu weye!Hayo mataputapu yaende wapi?Nyogulefu kabisa.
 
Chadema ni chama makini ndiyo sababu hakijawahi kununua mtu, hivyo Chadema haiwezi kuokota kiongozi jalalani japo haimkatazi mtu kujiunga. Viongozi huingia Chadema na kutoka lakini chama kiko palepale hakitikisiki.
 
Nimecheka sana hapo 😂 kwamba kwa sasa vijana wapo busy na Zuchu 🤣🤣🤣 hatar sana !!!
 
Sarcasm,wahaya ni kabila la ovyo kanda ya zowa hawana ushawishi,hawaamikiki.kiitwa muhaxa ksnds xa ziwa no tusi
 

Huna u Chadema wowote ndugu ila ni wale wakaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune.

Itatuchukua miaka mingi kuweza kuwa na ujasiri wakupambana na wasiojulikana Hawa.
 
Sarcasm,wahaya ni kabila la ovyo kanda ya zowa hawana ushawishi,hawaamikiki.kiitwa muhaxa ksnds xa ziwa no tusi
Sijawahi kupata bun Jf lakini leo inawezekana. Jaribu tena kutukana wahaya tena uone
 
wewe ni popoma samahan lakini
 
CDM Wakimpata Lukuvi at least ana uzika mno na hana historia mbaya na upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…