Maziwafreshi
New Member
- Feb 10, 2015
- 1
- 3
Nyie ni vibaraka mnatumika na ccm kuja kuandika utumno wenu hapa.Maziwafreshi umeongea kashinambonyi (ukweli mtupu).
Kwa sehemu kubwa ulichoandika kinachangiwa na udhaifu mkubwa wa kiuongozi tulionao katika chama hasa kuanzia ngazi ya kanda kushuka mpaka kata. Katika mtaa wangu mimi hapa Mwanza mjini sikuwahi kumwona kiongozi hata mmoja wa kata akishiriki nasi uchaguzi serikali za mitaa (sijui ni mamluki au waliomba uongozi kuuza sura).
Mitaa na vijiji vingi hatuna kabisa uongozi wa chama na ndo maana uchaguzi wa serikali za mitaa maeneo mengi tulipigwa kirahisi sana na hata October mwaka huu Magamba watatushinda kirahisi tu.
Viongozi wa ngazi hizo nilizotaja wengi wao hawajatekeleza/hawatekelezi kwa ukamilifu na uaminifu mkakati wa Chadema ni Msingi; ambao ndiyo tool pekee tukiitumia tunaiondoa CCM. As a result tunaingia vitani very disorganized.
Mwisho wa siku tunabakia kushangilia mauzurio ya watu kwenye mikutano bila kuwa na idadi ya makisio ya kula tunazoweza kupata ngazi za mitaa na vijiji na zile tunazopata hatuna uhakika wa kuzilinda.
Haya kila nikiyatafakari nasononeka sana kwa sababu ni dhahiri tunaenda katika uchaguzi tukiwa tumeshashindwa. Kinachofanya tushindwe kinajuliakana ila hakuna hatua ZOZOTE zinachukuliwa kuweka mambo sawa.
NGUVU TUNAYO NA KURA ZA KUIONDOA CCM HAKIKA TUNAZO KAMA TUKIMUA KUJIOGANAIZI.
Nyie ni vibaraka mnatumika na ccm kuja kuandika utumno wenu hapa.
Wewe unaongea kama nani wakati wewe sisimizi tu ndani ya chadema kwanza unatumiwa na ccm.

No need to beat around the bush,viongozi wa ngazi za chini hawako motivated kihivyo katakana na mgawanyo usio na usawa wa rasilimali za chama.Hivi unajisikiaje unapowaona viongozi wako wa ngazi wa juu wakilipana posho na malipo mengine mengi yanayokaribia mamilioni ya pesa huku nyinyi wa huku chini mkiambiwa mkitumikie chama kwa kujitolea yaani bila malipo?Ukiangalia na hali ya maisha ilivyo na wewe una ndoto zako za kimaisha hivi wakitokea CCM na fungu zuri la fedha wakakutaka uhujumu chama kwenye uchaguzi hujakubali?Kama CHADEMA inataka kuwa na loyal and devoted army basi ni budi waangalie upya Kwenye masuala ya malipo,kama suala ni kukitumikia chama kwa kujitolea basi ni vizuri viongozi wa juu wakaonyesha mfano ili kujenga uamini kwa hawa viongozi wa chini,la sivyo wasaliti watazaliwa kila siku na mtawafukuza kila siku,sasa sijui mtawafukuza wangapi.Ni vyema kikatafutwa chanzo cha hili tatizo kwanza halafu kitafutiwe ufumbuzi haraka badala ya kuhangaika na matokeo.Maziwafreshi umeongea kashinambonyi (ukweli mtupu).
Kwa sehemu kubwa ulichoandika kinachangiwa na udhaifu mkubwa wa kiuongozi tulionao katika chama hasa kuanzia ngazi ya kanda kushuka mpaka kata. Katika mtaa wangu mimi hapa Mwanza mjini sikuwahi kumwona kiongozi hata mmoja wa kata akishiriki nasi uchaguzi serikali za mitaa (sijui ni mamluki au waliomba uongozi kuuza sura).
Mitaa na vijiji vingi hatuna kabisa uongozi wa chama na ndo maana uchaguzi wa serikali za mitaa maeneo mengi tulipigwa kirahisi sana na hata October mwaka huu Magamba watatushinda kirahisi tu.
Viongozi wa ngazi hizo nilizotaja wengi wao hawajatekeleza/hawatekelezi kwa ukamilifu na uaminifu mkakati wa Chadema ni Msingi; ambao ndiyo tool pekee tukiitumia tunaiondoa CCM. As a result tunaingia vitani very disorganized.
Mwisho wa siku tunabakia kushangilia mauzurio ya watu kwenye mikutano bila kuwa na idadi ya makisio ya kula tunazoweza kupata ngazi za mitaa na vijiji na zile tunazopata hatuna uhakika wa kuzilinda.
Haya kila nikiyatafakari nasononeka sana kwa sababu ni dhahiri tunaenda katika uchaguzi tukiwa tumeshashindwa. Kinachofanya tushindwe kinajuliakana ila hakuna hatua ZOZOTE zinachukuliwa kuweka mambo sawa.
NGUVU TUNAYO NA KURA ZA KUIONDOA CCM HAKIKA TUNAZO KAMA TUKIMUA KUJIOGANAIZI.
No need to beat around the bush,viongozi wa ngazi za chini hawako motivated kihivyo katakana na mgawanyo usio na usawa wa rasilimali za chama.Hivi unajisikiaje unapowaona viongozi wako wa ngazi wa juu wakilipana posho na malipo mengine mengi yanayokaribia mamilioni ya pesa huku nyinyi wa huku chini mkiambiwa mkitumikie chama kwa kujitolea yaani bila malipo?Ukiangalia na hali ya maisha ilivyo na wewe una ndoto zako za kimaisha hivi wakitokea CCM na fungu zuri la fedha wakakutaka uhujumu chama kwenye uchaguzi hujakubali?Kama CHADEMA inataka kuwa na loyal and devoted army basi ni budi waangalie upya Kwenye masuala ya malipo,kama suala ni kukitumikia chama kwa kujitolea basi ni vizuri viongozi wa juu wakaonyesha mfano ili kujenga uamini kwa hawa viongozi wa chini,la sivyo wasaliti watazaliwa kila siku na mtawafukuza kila siku,sasa sijui mtawafukuza wangapi.Ni vyema kikatafutwa chanzo cha hili tatizo kwanza halafu kitafutiwe ufumbuzi haraka badala ya kuhangaika na matokeo.
Una hoja ya Msingi sana kuna baadhi ya Maeneo Pamoja na uwapo wa Changamoto lukuki uwajibikaji umekuwa msamiti,Maziwafreshi umeongea kashinambonyi (ukweli mtupu).
Kwa sehemu kubwa ulichoandika kinachangiwa na udhaifu mkubwa wa kiuongozi tulionao katika chama hasa kuanzia ngazi ya kanda kushuka mpaka kata. Katika mtaa wangu mimi hapa Mwanza mjini sikuwahi kumwona kiongozi hata mmoja wa kata akishiriki nasi uchaguzi serikali za mitaa (sijui ni mamluki au waliomba uongozi kuuza sura).
Mitaa na vijiji vingi hatuna kabisa uongozi wa chama na ndo maana uchaguzi wa serikali za mitaa maeneo mengi tulipigwa kirahisi sana na hata October mwaka huu Magamba watatushinda kirahisi tu.
Viongozi wa ngazi hizo nilizotaja wengi wao hawajatekeleza/hawatekelezi kwa ukamilifu na uaminifu mkakati wa Chadema ni Msingi; ambao ndiyo tool pekee tukiitumia tunaiondoa CCM. As a result tunaingia vitani very disorganized.
Mwisho wa siku tunabakia kushangilia mauzurio ya watu kwenye mikutano bila kuwa na idadi ya makisio ya kula tunazoweza kupata ngazi za mitaa na vijiji na zile tunazopata hatuna uhakika wa kuzilinda.
Haya kila nikiyatafakari nasononeka sana kwa sababu ni dhahiri tunaenda katika uchaguzi tukiwa tumeshashindwa. Kinachofanya tushindwe kinajuliakana ila hakuna hatua ZOZOTE zinachukuliwa kuweka mambo sawa.
NGUVU TUNAYO NA KURA ZA KUIONDOA CCM HAKIKA TUNAZO KAMA TUKIMUA KUJIOGANAIZI.
ccm sana hali mbaya hakuna uwezekano wa kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu.ccm kutegemea watashinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni sawa na kumpa mgonjwa uji wenye sumu ukitegemea atapona kumbe ndo atakufa.Binafsi naona chadema wanafanana mengi tu na upande wa pili yaani ccm. Ukishauri unaambiwa wewe ni kibaraka wa ccm. Kwa mfano tumeshauri mara nyingi kwamba chama kianzishe media zake kama redio, magazeti na hata tv, lakini tangu mwaka 2011 hakuna kinachotendeka. Pia tumeshauri chama kiwe na mpango mkakati wa kujitanua na kujiimarisha hasa maeneo ya vijijini, lakini viongozi wengi wa cdm hasa wabunge wako mijini wanakula bata tu, ccm itashinda kwenye uchaguzi wa mwaka huu kwa uzembe wa upinzani. Kusini mwa taifa letu kama ruvuma, lindi, njombe na hata iringa maeneo ya vijijini ccm imetaga. Cdm na ukawa wanasubiri mpaka wakati wa kampeni ndo waende. Kwa staili hii upinzani hauna malengo ya dhati ya kutwaa dola zaidi ya ulaghai.
mkuu kwa vile unajifurahisha sawa, lakini kiukweli upinzani wanaingia kwenye uchaguzi huu huku wameshindwa, kuna maeneo hakuna upinzani, na kina mbowe, lipumba na wenzao wanatapa kwamba ccm itaondoka ikulu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Sijaona maandalizi ya dhati ya ukawa kuchukua nchi sijaona! Sijaona. Nenda maeneo mengi ya vijijini kwenye taifa letu utakubali nisemalo.ccm sana hali mbaya hakuna uwezekano wa kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu.ccm kutegemea watashinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni sawa na kumpa mgonjwa uji wenye sumu ukitegemea atapona kumbe ndo atakufa.