mwanamara Member Joined Jan 14, 2011 Posts 53 Reaction score 11 Jan 8, 2016 #41 FisadiKuu said: Wakurya rudisheni gari mliloiba kwanza.. Majambazi wakubwa nyie Click to expand... We fisadi kwahiyo wakurya wakirudisha hiyo gari kwanza ndio Moshi itakuwa jiji na wasiporudisha Moshi haitakuwa jiji?
FisadiKuu said: Wakurya rudisheni gari mliloiba kwanza.. Majambazi wakubwa nyie Click to expand... We fisadi kwahiyo wakurya wakirudisha hiyo gari kwanza ndio Moshi itakuwa jiji na wasiporudisha Moshi haitakuwa jiji?
Ekotike JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 747 Reaction score 247 Jan 8, 2016 #42 Moshi ndio pahala fukara kabisa Tanzania hii.mji usiokua kabisa
Ekotike JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 747 Reaction score 247 Jan 8, 2016 #43 Bar Na gloceries ndo zinaongezeka kama uyoga kila kukicha Na wateja ni wale wale wanabadilisha bar tu
Bar Na gloceries ndo zinaongezeka kama uyoga kila kukicha Na wateja ni wale wale wanabadilisha bar tu
M Malipo kwamungu JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 574 Reaction score 86 Jan 8, 2016 #44 Kuna shule za sekondari 2013 binafsi na za serikari, kuna barabara za lami kilomita 3220, umeme asilimia43/ katika makazi ya watu. Kilimanjaro umaskini ni asilimia 12.4 wakazi wake kwa nini lisiwe JIJI? VYUO VIKUU viko 5 nini shida,
Kuna shule za sekondari 2013 binafsi na za serikari, kuna barabara za lami kilomita 3220, umeme asilimia43/ katika makazi ya watu. Kilimanjaro umaskini ni asilimia 12.4 wakazi wake kwa nini lisiwe JIJI? VYUO VIKUU viko 5 nini shida,
G Goodcitizen New Member Joined Sep 4, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Jan 8, 2016 #45 Hiyo bonge la issue wasubiri kidogo
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,863 Jan 8, 2016 #46 Tuombe Dar watupunguze watu kama Kamilioni kamoja hivi ili Mji uwe Jiji. Baada ya Moshi kuwa Jiji tuwarudishie watu wao...
Tuombe Dar watupunguze watu kama Kamilioni kamoja hivi ili Mji uwe Jiji. Baada ya Moshi kuwa Jiji tuwarudishie watu wao...