CHADEMA: Tumefanya uchambuzi wa ripoti zote CAG na kugundua awamu ya 5 kuna upotevu wa fedha nyingi kuliko awamu zote tangu ile awamu ya kwanza

Mkuu polisi na inteligesia yao wako busy kudhibiti mikutano ya ACT wazalendo. Wako busy kweli kweli. Si unajua maalim anavyo wapa homa ccm.
Hivi lile tishio la Jaji Mtungi limeisha au bado lipo?
 
Ndio naelekea mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya Chadema.

Nitawajuza yatakayojiri!

Maendeleo hayana vyama!

Up dates;

Mkutano umeongozwa na kiongozi wa chama na mgombea ubunge wa Dodoma mjini kamanda Kilagila Kwa ufupi tu amezungumzua hasara inayozalishwa na ATCL na kuhoji kwanini ndege hizo tunaziservice kwa fedha zetu kwani hazina guarantee.
Amesema wao Chadema gari yap mpya Nissan Patrol ina guarantee ya miaka 3 au km 100,000

Pia amehoji ubadhirifu uliofanyika Nssf.

Kadhalika Kilagila amesema Chadema wamepata Hati yenye mashaka japokuwa CCM ambao ndio wana makosa mengi kuliko wao wana Hati safi.

Chadema ina mapungufu matatu tu ya kiukaguzi amesisitiza Kilagila.

Tumefanyia uchambuzi ripoti zote za CAG, toka awamu ya kwanza hadi awamu hii ya tano tumegundua awamu hii ya 5 kuna upotevu wa pesa nyingi kuliko awamu zote 4 zilizopita yani kuanzia Nyerere, Mwinyi na Kikwete.
Mumechambua nini nyie. Tatizo fisi mnafuata binadamu mkono udondoke haudondoki. Yaani mjue nyie ni wasindikizaji tu mtu afike salama.
 
Back
Top Bottom