CHADEMA tumechoka maneno matupu......

CHADEMA tumechoka maneno matupu......

Anaetakiwa kuleta maendeleo ni serikali na mbunge kazi yake ni kusimamia maendeleo.
 
dogo umejua hata neno kilaza....mtafute mathew luhanga au mkandala dei knw me....i'm another level above da sky...au mtafute mbunge wako silinde atakwambia wh i am......
Hakuna haja ya kumtafuta Luhanga maandishi yanatosha kujua level yako.
 
Upo sahihi mkuu kwasababu hata CHADEMA wanakusanya kodi.Kodi inayokusanywa na cdm ni kubwa kuliko ya ccm ndio maana cdm hawataki posho.Kwa hiyo CDM wanapaswa wachangie kwenye bajeti yetu pesa nyingi kuliko serikali.Lakini naomba nikuulize mleta mada maswali machache;i.Una umri gani?ii.Ulishawahi kuugua ubongo?iii.Ulishawahi kwenda shule?iv.Leo umekula?
dogo shule nimewai hudhuria...though ckufahamu shule angu huipati...
 
dogo umejua hata neno kilaza....mtafute mathew luhanga au mkandala dei knw me....i'm another level above da sky...au mtafute mbunge wako silinde atakwambia wh i am......

Narudia umehudhuria tu hujaelimika. Mimi umri wangu ni zaidi ya wa baba yako, kiusahihi nina miaka 63 HUNA ADABU umedhirisha usivyoelimika
 
Nahic ww utakuwa mtoto wa kike....pili umenikumbusha mbali da tym nasoma shule ya msingi ndo nilisikiaga neno mbumbumbu, coz toka seko til namaliza versty nilikuwa na vichwa tupu.....
Vichwa gani vya panzi au kunguru?we ni kilaza kweli usiyejua chochote,mbaya zaidi unatumika vibaya kama dawa ya penzi,ukimaliza kazi unatupiliwa mbali kwisha kabisa.
 
Upo sahihi mkuu kwasababu hata CHADEMA wanakusanya kodi.Kodi inayokusanywa na cdm ni kubwa kuliko ya ccm ndio maana cdm hawataki posho.Kwa hiyo CDM wanapaswa wachangie kwenye bajeti yetu pesa nyingi kuliko serikali.Lakini naomba nikuulize mleta mada maswali machache;i.Una umri gani?ii.Ulishawahi kuugua ubongo?iii.Ulishawahi kwenda shule?iv.Leo umekula?
mimi nakuomba ujiulize hayo maswali kabla hujamuuliza mwenzako,leta source yako inayoonyesha kuwa cdm wanapokea kodi kubwa kuliko serikali na kama hujui ni kwanini cdm wamekataa posho ni bora unyamaze kuliko kuropoka
 
Moghati,
Mkuu wangu jaribu kufikiri hata kidogo. Mwenye dhamana ya kuendeleza nchi ni CCM ambayo wewe umewapa kura yako..Leo hawawezi unawataka CDM wachukue dhamana hiyo? Hivi kweli wewe ktk akili yako unafikiri kama unazo fedha na tajiri mkubwa unaweza kuchukua mamlaka ya kujenga daraja la kigamboni kwa sababu CCM wameshindwa?

Mkuu, baba yako sasa hivi ni CCM, na CDM kama mzazi jirani akiona watoto wanateseka lazima apige makelele kutetea haki zenu, haina maana kwamba maadam baba yako kashindwa basi yeye ajitose na kuchukua mamlaka.. Pia kuwatetea nyie haina maana ni kwa sababu analia wivu baada ya mama Tanzania kamchagua CCM...
Hizi ndizo siasa za Bongo, kwa kila CDM inachokifanya ni aidha watu wanataka CDM waingilie na kuvunja ndoa ya CCM bila ridhaa ya wananchi ama CDM wanaona wivu kwa JK na CCM, lakini wameshindwa kufikiri msingi wa kelele za CDM ni kuwatakia maisha bora ingawa sii jukumu lake.
 
mimi nahic cdm bado hawajakomaa kisiasa...kw nn msilete maendeleo pale ambapo sisiem imeshndwa ili cc watanzania tuwaamini kama mnaweza kuongoza si kulalamika tu, wananch tulie na nyie mlie nani amnyamazishe mwingine...kama mnaweza kununua mitambo ya umeme nunueni na matatizo mengne muyasolve ambayo mnahic sisiem imeshndwa ila umma wa tz tuwaamini otherwise hatutaki maneno matupu,waswahili wanasema mkono mtupu haulambwi...igeni mfano wa democratic na republic frm USA, watanzania wamestuka kuwa na nyie mpo
samahan sina nia mbaya ila nina uhakika uelewa kwenye masuala haya una matege kidodo. Kasome sana mambo mbalimbali. Vilevile punguza njaa pesa za nape hazitakusaidia zaidi utakufa ombaomba
 
Mleta thread naona frustrated au hatumii akili kufukiri, yaani watanzania wasivyo na fikra, yaani muwapigie ccm kura, af chadema waje kutekeleza ilani!!!!

.....Sometimes NO and Sometimes yes!!!!!!, Tehe teheeee!

 
Mleta mada, rudi kajifunze civic/uraia/dev sutides/siasa nk ujue nani aliye accountable kwa watanzania katika siasa/mfumo
 
Mleta thread ni MSUKULE wa magamba amekurupuka toka usingizini,shame on you.
 
acha uzushi, CDM watafanya jambo gani uliona wanakusanya kodi kutoka kwa nani? ccm mkusanye kodi za wananchi na kuzitafuna halafu CDM wawafanyie kazi, tumia akili!
 
dogo umejua hata neno kilaza....mtafute mathew luhanga au mkandala dei knw me....i'm another level above da sky...au mtafute mbunge wako silinde atakwambia wh i am......
Tumuulize wa nini kwani kufika chuo ndo kuelimika, mbona hapa umejiaibisha? Huenda ulikuwa unakariri madesa na kupata A unazojidai nazo hapa jamvini. However inaonekana hakuna kilichobaki kichwani baada ya kuhitimu! Kumbuka Elimu ni kile kinanchobaki baada ya kusahau yote uliyosoma shuleni. Hata Nepi boss wako pamoja na kuwa gamba damu hawezi kuleta argument ya kijinga kama hii ya kwako.Siyo lazima ukurupuke kupost kitu kitakachokuvua nguo mwenyewe kama hiki. Jaribu kutumia muda mwingi kusoma ya wengine kwanza ili ujifunze ndipo ujaribu kuchangia kisha unaweza kuanzisha thread yako baada ya kuelimika.
 
Moghati;2282833]dogo umejua hata neno kilaza....mtafute mathew luhanga au mkandala dei knw me....i'm another level above da sky...au mtafute mbunge wako silinde atakwambia wh i am......

sifa za kijinga
 
Huyu mtoto ni wale form four 2010 walio taga mayai naona kichwa chake kina ombwe kumbwa. Kwanza anaandika thread utadhani anaandika sms ya mpenzi wake mfano "nahc" mtaona kwanza uandishi tu ni tatizo halafu hajui nani anatakiwa kuwaletea watanzania maendeleo, manake hata somo rahisi la civics alitoka kapa. Ili kumsaidia mwelezeni majukumu ya serikali kwanza, af ndo ajue kwanini cdm hawahusiki vinginevyo mnazidi kumchanganya.
 
Vichwa gani vya panzi au kunguru?we ni kilaza kweli usiyejua chochote,mbaya zaidi unatumika vibaya kama dawa ya penzi,ukimaliza kazi unatupiliwa mbali kwisha kabisa.
Duh! mkuu inamaana huyu mtoto ni sawa na dawa ya penzi. Mi naona hata dawa ya penzi inathamani kumzidi inaweza kukuepusha na mengi. huyu ni bure kabisa.
 
Vichwa gani vya panzi au kunguru?we ni kilaza kweli usiyejua chochote,mbaya zaidi unatumika vibaya kama dawa ya penzi,ukimaliza kazi unatupiliwa mbali kwisha kabisa.
<br />
<br />
he he he umeenda mbali
 
Back
Top Bottom