Kama anaelewa maana yake lazima alie.Crap!
Vijana wa Lumumba mna akili finyu sana. Kama ni hivyo, weka utafiti uliofanyika kutoa hayo majibu yako. Sio umetoka chooni huko unaleta utumbo. Mnadhalilisha JFHuwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?
Nashauri chadema ivunjwe!
Mkuu Uko sahihi sasa hivi watetezi wakubwa wa chadema ni viongozi tu wanachama wengi walishakibwaga.Hata mikutano yao Ya hadhara hawataki kuvaa mivazi ya chadema. Ukiona imevaliwa ni viongozi wamevaa tofauti na CCM.Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?
Nashauri chadema ivunjwe!
Ndio ujue kwamba walipata kura za maruhani za CCM. 2020 watahenya na hata 500000 hawapati!!Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?
Nashauri chadema ivunjwe!
Chadema iliondoka na Dr Slaa!Barbarossa unawakilisha akili dhaifu zilizoko CCM. Kwa mawazo yako ulitaka CDM wafanye siasa za vurugu na vita, na hasa ndiyo upinzani wanaostahili CCM
Africa hatuwezi kufanya siasa za kistaarabu mpaka kwanza tuvurugane na kuuana , kitu wanachokifanya CCM kwa sasa.
CDM wangekuwa dhaufu unavyodai mtu wako angehangaika kupiga marufuku siasa?! Amejiimarisha kwenye majeshi kwa sababu mko tayari kuua watu wenu ilmradi mmbaki madarakani. SHAME ON U PEOPLE
Acha kuota wewe chadema hata ukienda mikutano Ya chadema wanaovaa vazi la chadema ni viongozi wanachama hawana wanaona kujionyesha ni chadema hadharani ni nuksi. Nenda mkutano wa CCM wa hadhara uone watu walivyo na mapenzi na chama walivyovaa jezi za CCM walivyo wengi mleta mada yuko sahihiNdio ujue kwamba walipata kura za maruhani za CCM. 2020 watahenya na hata 500000 hawapati!!
Chama siyo mtu bali watu. Dr amefanya yake na yanaheshimika na kutambulika na maisha lazima yasonge mbele pamoja ama bila Dr.C
Chadema iliondoka na Dr Slaa!
Katibu Mkuu CDM kwani ni nani hivi sasa?Chama siyo mtu bali watu. Dr amefanya yake na yanaheshimika na kutambulika na maisha lazima yasonge mbele pamoja ama bila Dr.