Chadema Tarime wafanya Mkutano wao Mkuu

Oh eti tumekatazwa kufanya mikutano, sijui kuna udikteta sijui nini. Haya sasa hapo mnafanya nini?
Mkuu suruali za mlegezo zimewashuka, kila mnachounga mkono kinaishia kuwa na kasoro. Kibinadamu mmelegea maana mmecheza mchezo wa hasira wakati mchezo wa kisiasa hauhitaji hasira. Mnatamani kurudisha majira nyuma baada ya kushtuka mlikuwa mnampiga chura teke.
 
Yaani hapo ndio umeona nyomii kama lote, ha ha ha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…