Chadema Tarime wafanya Mkutano wao Mkuu

gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,485
18,044
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Tarime Vijijini umefanyika leo Tarime Mjini, Ajenda kuu ikiwa ni Uchaguzi wa ndani

Source: Mohonia Joseph View attachment 992105
FB_IMG_15472327632055807.jpeg

2020 John Walker out
 
Oh eti tumekatazwa kufanya mikutano, sijui kuna udikteta sijui nini. Haya sasa hapo mnafanya nini?
Mkuu suruali za mlegezo zimewashuka, kila mnachounga mkono kinaishia kuwa na kasoro. Kibinadamu mmelegea maana mmecheza mchezo wa hasira wakati mchezo wa kisiasa hauhitaji hasira. Mnatamani kurudisha majira nyuma baada ya kushtuka mlikuwa mnampiga chura teke.
 
Yaani hapo ndio umeona nyomii kama lote, ha ha ha.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom