kitambiheshima
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 452
- 116
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Songea kimehitimisha msambaratiko mkubwa unaokikumba chama hicho nchi nzima. Ni baada ya uchaguzi wa jimbo kushindwa kufanyika, baada ya kuahirishwa mara tano na mara ya mwisho ulikuwa ufanyike tareh 24.08.2014 ukaahirishwa. Joseph Fuime, mwenyekiti wa mkoa amekivuruga chama kwa kupanda mamluki kibao, kisa yampe kampani kwenye ubunge 2015. Kwasasa zaidi ya wanachama 10 wameapa kukisurubu chama hicho kwa kuhakikisha kuwa wanakihama. Fuime nae amesikika akisema kuwa wakimbabaisha zaidi anahamia ACT ambako uchunguzi umebaini kuwa anakutumikia kiaina.
My take; Yetu macho.!
My take; Yetu macho.!