CHADEMA someni hiki kitabu

CHADEMA someni hiki kitabu

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
81x6MnPC+LL._AC_UF1000,1000_QL80_FMwebp_.jpg

Hiki kitabu kina itwa THE BOOK OF SOUTHERN QI DYNASTY kinazungumzia vipi unaweza kuua kwa kutumia upanga wa kuazima. Yaani hapa njia ni kua unapenyeza watu wako kule ambako unatk kuangusha ufalme halafu unatumia hao kuangusha ufalme.

Mfano Chadema ingepenyeza watu serekali washike nafasi za juu Kam vile IGP NA MKUU WA MAJESHI bila CCM kujua then wanashiriki uchaguzi wanahamasisha watu kwenda kupiga kura mwisho wanamtumia IGP na MKUU WA MAJESHI kuilazimisha kufangaza matokeo ya haki au wawe na siku mbaya sana maishan mwao
 
Kuna kitabu nilikisoma sikumbuki jina ila kinaelezea kuwa "baada ya majaribio mengi ya kimapinduzi Mwl Nyerere na viongozi wachache sana wakakubaliana kuanzisha mfumo ambao utachunguza vijana watiifu sana wa TANU na hao ndio watachaguliwa kuwa kuwa viongozi na sio mfumo uliokuwepo awali wa kuwachagua kulingana na elimu yao...." huu mfumo hadi leo unafanya kazi huwezi shika nafasi ya mamlaka bahati mbaya
 
Kitabu hukifaham jina mana yke umetoa kichwan mwako
 
Hili jambo nilishalifikiria siku nyingi Wangepenyeza watu wao kirahisi kabisa mfano hao waliopo CCM from CDM
 
Hiyo ilitumika kuangusha USSR ya soviet miaka michache iliyopita. Kwa kumpandikiza Mikhail Gorbachev. Na alipofika nafasi ya juu alitangaza Perestroika yaani mageuzi na uhuru zaidi. Mataifa yaliounganishwa kwa mkono wa chuma kwenyemuunganohuo wa kisovieti. Yakajikuta yarudisha uhuru wao.
 
Atakayepenyezwa nae asiwe na tamaa, mana atakutana na pesa nje nje atajisahau
 
Ni njia nzuri na ya amani sana. Shida wabongo, watakao penyezwa huko, atajipendekeza kusema ametumwa kufanya nini, ili tu apate cheo na pesa. Hayo kwa Afrika sidhani, nchi za nje inawezekana. Sisi ubinafsi, njaa, tamaa kushinda hiyo mbinu inahitaji mtu na nusu.
Una akili ndiyo maana nakupenda sana.
 
View attachment 3353075

Hiki kitabu kina itwa THE BOOK OF SOUTHERN QI DYNASTY kinazungumzia vipi unaweza kuua kwa kutumia upanga wa kuazima. Yaani hapa njia ni kua unapenyeza watu wako kule ambako unatk kuangusha ufalme halafu unatumia hao kuangusha ufalme.

Mfano Chadema ingepenyeza watu serekali washike nafasi za juu Kam vile IGP NA MKUU WA MAJESHI bila CCM kujua then wanashiriki uchaguzi wanahamasisha watu kwenda kupiga kura mwisho wanamtumia IGP na MKUU WA MAJESHI kuilazimisha kufangaza matokeo ya haki au wawe na siku mbaya sana maishan mwao
kupenyeza watu kwa mazingira ya dunia ya tatu uwe na uwezo wa kifedha pia Chadema hawana
 
Hilo sio la kuwafundisha Chadema, wanafahamu ndio maana pia walifanikiwa hilo hata kwenye uchaguzi wao wa January 2025. Zambia na Kenya lilifanyika hilo Bw. HH na WSR wakashinda urais mtawalia.
 
mkuu wabongo ni Takataka, huyo atakaepenyezwa akishapata asali tu anakuheukieni
 
Back
Top Bottom