Teh Teh Teh
Member
- Nov 13, 2009
- 42
- 10
wewe nani kakwambia hatusurvive, ujinga wa mawazo, wakati mwingine ni ubutu wa kuikiri hata propaganda ndogo Za CCM , shauri yako, utangoja wee CHADEMA ipasuke , aah wapi, tunajiandaa na UCHAGUZI MKUU MWAKANI, tukiwa tumewang'oa vibaraka, watoa siri, wasio majasiri, waleta fitina na majungu.tatizo la CHADEMA ni UKABILA na UDINI. Ondoeni hayo muweze kusurvive
Japo siwapendi CCM sijawahi kuwapigia kura since multi party system, lakini vilevile huko chadema Nani mgombea urais ndugu?? akiwa Slaa (former priest) kama muislam nitakuwa very skeptical na yeye unless a-prove beyond reasonable dought kwamba hatumikia kanisa bali taifa..akiwa mbowe mmetuangusha kwasababu he is below standard by all means the most he can do "awe kamanda wa vijana wa chadema finito" siyo rais (lol)...wewe nani kakwambia hatusurvive, ujinga wa mawazo, wakati mwingine ni ubutu wa kuikiri hata propaganda ndogo Za CCM , shauri yako, utangoja wee CHADEMA ipasuke , aah wapi, tunajiandaa na UCHAGUZI MKUU MWAKANI, tukiwa tumewang'oa vibaraka, watoa siri, wasio majasiri, waleta fitina na majungu.
CHADEMA haivumilii ujinga-ujinga, majungu na ushenzi mwingine.
tatizo la CHADEMA ni UKABILA na UDINI. Ondoeni hayo muweze kusurvive
Japo siwapendi CCM sijawahi kuwapigia kura since multi party system, lakini vilevile huko chadema Nani mgombea urais ndugu?? akiwa Slaa (former priest) kama muislam nitakuwa very skeptical na yeye unless a-prove beyond reasonable dought kwamba hatumikia kanisa bali taifa..akiwa mbowe mmetuangusha kwasababu he is below standard by all means the most he can do "awe kamanda wa vijana wa chadema finito" siyo rais (lol)...

Hivi makao makuu ya Chadema yapo wapi? Moshi au Vatican?CHADEMA SIYO PANGO LA WANYANG'ANYI.
CHADEMA siku zote huchukua hatua!
Ilimsimamisha Chacha Wangwe alipokuwa akitumika, au kutumia vibaya madaraka yake kubomoa Chama akiwa ni Makamu Mwenyekiti - TAIFA.
Jopo la Wazee ilimshauri Zitto kidemokrasia kuondoa fomu yake, kwani CHAMA kisingeweza kuhimili ushindani wa WATU WAKUBWA kugombea nafasi moja. CHAMA KINGEPATA NYUFA. Busara ilitumika.
Wale wote wasaliti katika safari ya nchi ya ahadi, lazima waondolewe kwenye Chama au kwenye nafasi zao! Maafisa wawili hao kuondolewa ni hatua za kuigwa!!
Chama kipo makini sana! Hatutaki kuingia Ikulu tukiwa wachafu tusije tukaitia unajisi Sinagogi! (Ikulu ya watanzania).
Jicho la CHADEMA huangaza mahali pote kwa Tembo hata sisimizi! Chachu moja huchachua donge zima! Tunajenga kuta imara ili kuzuia nyufa siku za usoni!
CCM wao wanaogopa kuchukua hatua!!!!! Iacheni Chadema ichukue Hatua!!
Hivi makao makuu ya Chadema yapo wapi? Moshi au Vatican?
Hivi makao makuu ya Chadema yapo wapi? Moshi au Vatican?