hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
..ndiyo maana nimetumia udhaifu mkubwa uliionyeshwa na viongozi wa CDM kutamka kwamba hakiwezi kuwa Chama sahihi Cha mabadiliko kwa watanzania!
Ninakubali tunaitaji mabadiliko watanzania ila mabadiliko ya Kweli kamwe "hayako CHADEMA"
Tanzania kuna vyama 22 vilivyosajiriwa. Ila Chama kisichokuwa na maadili na kinaongoza kwa ubaguzi ni CHADEMA, hakina nia dhati ya kumkomboa mwanachi mwenye kipato cha chini
Gaaaaambaaaa!
Nonsense kabisa, sijui unaandika kwa kutumia mpododo.!!!
nadhani still una akili za mgando.
Ona mjitu mingine hii, limeacha kunyonyesha mtoto wake linaleta ***** hapa. GAMBA MKUBWA.
Bado ninamachungu kwa makanisa yaliyochomwa...Tafadhali leo ni Jumapili tusiharibiane siku mkuu..
Ficha upumbavu wako by invisble!
Nyau wewe... Pepo toka.. Toka toka.. Toka pepo... Na ushindwe na ulegeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
gambaaaaaaaaaaa. Na tulizomeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hilooooooooooooooooooooooooooooooo
huna aibu.......... Pimbi weweeeeeeeeeeeeeee
MKUU NATMAI NNAPE KAKUWEZESHA, MAANA IZI NI PUMBA ZA KIPUMBAFU FR CCM LZM ZINAUWEZESHO WA DHAIF et al
Mkuu, unaposema udhaifu mkubwa unamaanisha upi?
-au hukisoma post niliyokujibu mwanzoni...hatumhukumu mtu/kikundi kwa mabaya tu aliyoyafanya..so, ukitaka kujenga hoja FIKIRIA HILO kwanza!
Pili, mabadiliko hayako CHAFEMA, wala CCM, no else where...SISI as wananchi ndiyo tutakaobadilisha! lakini kwa sasa hicho chombo cha kutufikisha hapo katika mabadiliko na kwa pamoja ni CHADEMA!
Tatu, katika uchunguzi wako, uligundua ni Chama gani kitatuunganisha katika kufikia mabadiliko?
Unajua mkuu, hilo ndiyo TATIZO ULILO NALO,.."unaongea ongea tu"..JENGA HOJA!!Eleza kwa uwazi na mifano HALISI kuwa unayosema yana mantiki!
1. Maadili ni nini?
2. Kina nani wana maadili?
3. Unadhani viongozi ambao si waadilifu wanapaswa kufanywa nini?
4. Hakina nia ya dhati kumkomboa mwananchi,KIVIPI?
5. Sera za CHADEMA zinasemaje?
6. Unafhani na Chama gani kinaweza "kumkomboa mwananchi", KIVIPI?
Jenga hoja VIZURI kisha watu tujadili lakini ukiacha jinsi ilivyo, usilalamike watu kutukana(kwani labda umegusa hisia zao kwa kusema bila mifano/hoja ZILIZOJENGEKA) na wengine ambao si wanachama wa CHADEMA kukerwa na uandishi MBOVU, mkuu!
kaka katika maisha haya usiishi kwa ajiri mtu fulani anataka uishi hivi ogopa sana kutumiwa na mtu fulani napata mashaka kwani mimi hapa si mwandishi wa makala yani nikuambie hadi maana ya neno maadili, nami hapa sipo kwa ajiri ya chama fulani ambayo wewe unataka ujue mi nipo hapa ili kuwaambia watu ukweli ambao wewe hupendi kuusikia kuhusu CHADEMA.
Neno maadili lina maana hii ni mkusanyiko wa kanuni zinazoongoza maisha ya watu katika jamii husika kwa lengo maalumuHahahaha!! so unamaanisha natumiwa siyo?!..nikikuuliza au kukwambia thibitisha utaweza?..Na HII ndiyo naayoongelea(sme reason why watu walianza kukushambulia, and probably wataendelea kukushambulia if you cant correct that)..usipende kushutumu bila uhakika mkuu, just dont!
Ninaposema maadili, ninahitaji tuwe na common definition, now what is the problem for you toexplain that, IF YOU IT anyway?
Uandishi: Ninaposema uandishi si maanishi,eti ushindwe kuandika kwasababu wewe huandiki makala, ooh?! sijui wewe si mwandiashi wa habari...!! Do you think hilo ndilo jibu?..unataka kusema wanaoandika wote humu JF ni waandiahi wa habari, wanao-post comments zao wote ni waandika makala?!!
Jibu maswali CRITICALLY, achana na cheap answers...others sina cha kuongeza, mkuu.
Unavyoandika tu ni kinyaa tosha. Lazima utakuwa umekurupushwa wewe!
vijana wengi tunaitaji mabadiliko ya kiuchumi,kisiasa na kijamii ila cdm sio chama sahihi cha mabadiliko nasema haya kwa baada kufanya uchunguzi wa kina na kugundua kuwa hiki ni chama ambacho kinawatumia vijana kwa kuwapotosha ni si kuwajenga kupambana na changamoto! Juzi tu jijini mwanza tumeona mbunge wa cdm akitoa pesa ya kuandika mabango na kununua viroba ili wamzomee waziri mkuu wa tanzania kwel chama hiki sio sahii kwa madiliko! Viongoz wajuu wa cdm ndio chanzo kikuu cha kuanzisha vulugu na fujo ukiaangalia arusha katibu mkuu wa cdm dr wilboard slaa anawashawishi wananchi wakavamia kituo cha polsi huyu kiongoz alikuwa hana nia nzur, pia kiongoz huyu alitamka maneno haya km cdm haita shinda nchi haita karika anamaana alikuwa tayar kuingia mstuni hii ina maana yeye ni kiongoz asiyekubari kushindwa! Pia ni kiongoz mwenye uruho na madaraka na sio kuwakomboa watanzania! Ni wabunge wa cdm ndio waliongoz bungen kutomtambua rais hii inamaanisha wanakataa maamuz ya wananchi wa tanzania walipoamua kumpa ridhaa kuwa rais, wabunge wa cdm ndio waliokuwa mstari wa mbele kupinga posho, mishahara na magari ya kifahar ya wabunge ila hii wanatembelea magari yale yale kifahar na posho na mishahara wanapokea km kweli walikuwa na nia nzuri kwanin pesa hizo wasipokee na kuzileta kwenye shughuli za maendeleo! Watanzania ni muda muafaka sasa wa kutafakar kwa kina sio tudananywe na maneno, vijana tunaitaji mabadiliko kamwe chadema sio chaguo sasa kwetu
Jamani, chonde chonde...........hata kichaa huwa anajiona mzima. Huyu jamaa mwacheni tu kwani hajitambui. Hivi aligombea nafasi gani kule UVICCM? aliambulia nini? BAVICHA inamkaribisha.
Neno maadili lina maana hii ni mkusanyiko wa kanuni zinazoongoza maisha ya watu katika jamii husika kwa lengo maalumu
, sasa basi naomba kujua mambo haya kuhusu CHADEMA
1. Masharti ya uanachama
2.Haki ya mwanachama wa CDM
3. Wajibu wa mwanachama
4.Miiko ya Uongozi
5.Uendeshaji wa Vikao na mikutano
Ukiweza kufafanua haya ndipo nitakapokuweza kwamba CHADEMA ni chama kisicho na maadili
Kwa mtu timamamu hawezi kutukana matusi pale anapoambiwa jambo ninapenda wanavyotukana ndivyo watu wanatambua hiki Chama cha wahuni wasio na busara
HAPPOCRATESSOCRATES
Ulidai wewe umesomea maadili ila nimetaka kujua mambo fulani kuhusu maadili ndani ya CHADEMA umekimbia au umeamua kunidhihirishia kuwa CDM haina maadili nazidi kupata wasiwasi mkubwa juu taaluma uliyonayo.
HAPPOCRATESSOCRATES
.. nazidi kupata wasiwasi mkubwa juu taaluma uliyonayo.
Mabadiliko ya kweli yataletwa na hawa wafuatao:
1/Watoto wa vigogo wa CCM wanaopewa vyeo ndani ya CCM(Eg. Le Mutuzi)
2/Familia ya Sultani Kikwete(Jakaya, Salma, Ridhwani, Miraji, Mwanaasha)
3/UVCCM wa Morogoro(Wale waliogomea uchaguzi mpaka wapewe kwanza chai)
4/UVCCM wa mkoa wa Mara(wale waliopigana viti wakigombea rushwa)
5/Marry Chitanda(Katibu wa CCM Arusha, yule aliyegoma kutambulisha Dume la Mbegu la wanaCCM wote Tz)
6/Wazee wa Bastola(Rage, Malima, Kigwangwala, Bashe)
7/Kamanda wa polisi Paul Kamuhunda na Dr. Emanuel Nchimbi(mzee wa kamati)
8/Wasanii wa bongo wanaopenda kukaa uchi na pia hawavaagi chupi (Eg. Wema Sepetu, Anti Ezekiel, Nakaaya Sumari)
9/Makada wafuatao wa CCM(Nape, Mukama, Mwigulu, Lusinde, Martin Shigella)
10/Anna Makinda(Spika wa kwanza mwanamke wa Tz)
11/Watangazaji wa Clauds Fm(Ephraim Kibonde, Gerald Hando, Mbwiga Mbwiguke, Diva)
Taaluma inahusika vipi hapa?.. kwa nini usieleze taaluma yako kabla ya kuuliza yangu?!