CHADEMA si Legelege-Dr Slaa


Punguani ww baada ya kujaribu kupotosha jana kwa kutumia ID ya TUNTEMEKE sasa umeamua kujitosa mwenyewe..
 
Last edited by a moderator:

usaliti ni dhambi mbaya sana,vip umeona matamko yenu yamebuma? Eti na wewe ulikuwa unataka uongoz cdm?kama ndivyo dr ana intelijensia kali sana katika kubain mapandikiz ya ccm,DR slaa anajenga chama,mwache ajenge chama.
 
hata mimi nilikuwepo, ilikuwa nyomi ya hatari nitarusha picha mda si mrefu
 
sasa subirini leo kigoma sukari itakashuka

mimi mwenyewe ni mpiga kura wa zzk. . Kusema ukweli dogo watu hawakua na imani naye tena. Hata uchaguzi wa 2010 alipita kwa mbinde
 
Gamba sugu
Usimsumbue Ben ana majukumu ya kitaifa, tuone makamanda wa kanda ya ziwa magharibi. Piga 0715477968.

Ben ana jukumu gani la kitaifa zaidi ya kumtumikia Josephine Mushumbusi?

Daktari mzima unampraise mtu SIFURI kama Ben!!!

Hii ni HASARA kwa taifa!!!
 
Thread ya Kurugenzi ya habari haijatolewa na mods acheni kupaka matope mods.

Ipo na zile picha ndio za ukweli.Kahama wamefunika na sasa subirini Kigoma.
 
usaliti ni dhambi mbaya sana,vip umeona matamko yenu yamebuma? Eti na wewe ulikuwa unataka uongoz cdm?kama ndivyo dr ana intelijensia kali sana katika kubain mapandikiz ya ccm,DR slaa anajenga chama,mwache ajenge chama.

Uongozi ataendelea kuusikilizia kwenye bomba tu...
 
Kuna udini WA hali ya juu Lumumba Buku Saba. Mingoi MUISLAM, Mchange MUISLAM, Faiza Foxy MUISLAM, Chama MUISLAM, Simiyu Yetu MUISLAM, Chabruma MUISLAM, Ifweero MUISLAM, Msalani MUISLAM, m23 MUISLAM, Baba Lao Ritz MUISLAM, ZeMarkopolo MUISLAM, Kilombero Yetu MUISLAM, na wengine wote.
Kuna haja ya vyombo vya usalama kuliangalia vizuri hili genge...
 
Ziara ya Dk. Slaa jana iliingia dosari baada ya magari aliyokuwa akiyatumia kupata hitilafu za kiufundi zilizosababishwa na kile kinachodaiwa ni mafuta machafu waliyoyaweka katika kituo kimoja cha mafuta kilichopo wilayani Kibaha mkoani Pwani.
Zitakuwa ni hujuma za wasaliti hizi.
 

Umeishia wapi na yale maandamano ya kimagumashi! Dr anazidi kupasua anga kifaranga tulia
 
Ben ana jukumu gani la kitaifa zaidi ya kumtumikia Josephine Mushumbusi?

Daktari mzima unampraise mtu SIFURI kama Ben!!!

Hii ni HASARA kwa taifa!!!

Kama wewe pamoja na usomi wako lakini ukakubali ajira ya buku 7 Lumumba.
 
Ben ana jukumu gani la kitaifa zaidi ya kumtumikia Josephine Mushumbusi?

Daktari mzima unampraise mtu SIFURI kama Ben!!!

Hii ni HASARA kwa taifa!!!

Acha upimbi ww, hoja huna kazi majungu tu na unafiki wako.
 

Alikuwa akiwatuliza nyie mnaohaha...
 

So you want to say these are Muslim brotherhoods fighting for CCM? So to say CCM are for the muslims?

Rudi kwenye mada kamanda usiruhusu kutekwa na hoja mufilisi za uliowataja.
 

Wewe kichwa.
 
Mkombozi wetu Wilbroad Slaa (PhD) usisahau kuongelea mgao wa umeme unaotuletea umaskini mkubwa na kuminya ajira kwa vijana.
Dr Slaa wewe ni sauti ya Simba, ukiongea magamba wanatetemeka maana wamezoea Kikwete sauti ya KASUKU....

Mkuu unaambiwa mabango yalimnyima nafasi ya kuongea. Hakukuwa na watu pale hadi kurugenzi ya habari imetoa picha za mwaka 2011 wakisema ni za jana. Fuata maelekezo ya TUNTEMEKE kwenye thread iliyofungwa ya https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ama-wananchi-wasusia-mapokezi-na-mkutano.html utabaini ulaghai mkubwa. Kwa hali hiyo sijui kama Dr. Slaa atakanyaga Kigoma. Angesubiri tu vumbi litulie kabla ya kwenda huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…