Magufuli anasubiri kuapishwa ndiyo Rais wa tanzania ijayo.
Ataapishwa bila ridhaa ya Watanzania? Msijisahau sana kuwa ili ashinde ni lazima apigiwe kura sio tu na wanachama wenu bali pamoja na wasio wana-CCM. Kwa maneno haya hata waliokuwa wanamtazamo tofauti wanaweza kubakia na mtzamo wao ili kuona mtaamua kumuapisha hata kura zisipotimia!